muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

    Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China. Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
  2. Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

    Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
  3. K

    Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  4. M

    DOKEZO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho - Stendi ya Chini takataka zimerundikwa kwa muda mrefu, zimeoza na zitoa harufu kali

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Stendi upande wa chini, zinakopaki Daladala za Kinyerezi na Bajaji za Malamba Mawili, kuna takataka zimerundikwa kwa muda mrefu sasa zinatoa harufu kali sana, mbaya zaidi Wafanyabiashara wanamwaga hapo matunda mabovu, mboga zilizoharibika na aina nyingine za taka na...
  5. LGE2024 Njombe: Wananchi Wanging'ombe zoezi la Upigaji Kura halichukui muda mrefu

    Baadhi ya wananchi wa Igwachanya Halimashauri ya Wanging'ombe, waliojitokeza katika zoezi kupiga kura leo November 27, 2024 ili kuwapata viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 5. Soma Pia: Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe
  6. R

    Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  7. Leverage: Namna biashara imara inavyoweza kunufaika kwa kuwekeza pesa ya ziada kwenye mali za muda mrefu

    Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo. Kunufaika na ‘Leverage’...
  8. J

    Tiba ya mafua ya muda mrefu na kikohozi

    Habari za hapa ndugu zangu. Mimi nina changamoto moja, mke wangu anasumbuliwa na mafua yasiyopona na koo linawasha tangu mwezi wa sita, nifanye nini kumsaidia? Naomba ushauri kwa anaye fahamu njia ya kutibu hili tatizo.
  9. N

    Wafanyakazi Mastermind Tobacco walalamika kufanya kazi muda mrefu bila kupewa ajira rasmi

    Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
  10. Uzalendo wa muda mrefu na vitu vya kipekee tunavyoviona katika taifa letu

    Watanzania na mitazamo Shule za msingi na sekondari za serikali ...... wananchi response :rolleyes: Hospitali za serikali ....... wananchi response:rolleyes: usafiri wa umma ......... wananchi response:rolleyes: AJIRA ZA SERIKALI NA MASHIRIKA YA UMMA ....... wananchi...
  11. Wanafunzi wanakaa kwenye vituo vya daladala kwa muda mrefu

    Serikali ikiendelea kupiga hatua dhidi ya uboreshaji wa elimu Tanzania mkoa wa mwanza unakabiliwa na changamoto wanafunzi kukaa mda mrefu kwenye vituo vya magari kwa kukosa kipaumbele mda wa jioni hasa kipindi cha mitihani ya taifa. Adha hiyo hutokana na wanafunzi kutokupewa kipaumbele cha...
  12. Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?

    Wakuu, Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?
  13. D

    Niko single kwa muda mrefu, natafuta mpenzi

    Nipo hapa kutafuta mchumba mwanamke nimekuwa single kwa muda mrefu. Vigezo dini yeyote, umri wowote sichagui mahusiano serious kwa ambaye yupo serious ani Pm niko DSM.
  14. Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?

    Baadhi ya Taarifa za Uzushi zimekuwepo kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi, hivyo kuathiri mitazamo ya watu Je, ni Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu? Ili kujua Uhalisia wa Taarifa unazokutana nazo, tembelea Jukwaa la JamiiCheck
  15. Usingekuwa na maringo ungekuwa umeolewa muda mrefu, ona sasa unajuta hata wa kukutongoza tu hakuna na umri umesonga

    Halafu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada kuomba Mungu na kuombewa uondokane na hiyo Roho ya maringo, kiburi, hasira na dharau, eti unataka uombewe upate mume. Mume gani atakuoa ukiwa mbishi na mwenye kiburi namna hiyo hata kama ni mzuri wa sura? Jiheshimu, vaa mavazi ya kistaarabu. Omba...
  16. Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  17. Kanisa lamuweka Askofu Kakobe kwenye maombi baada ya kutoonekana Kanisani kwake muda mrefu

    Pia soma: ~ Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2 ~ Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021
  18. Nimevumilia muda mrefu sasa nakaribia kuuteka mtaa hamasa kwa wanaoanza biashara

    Kwemah wakuu,,,tunapeana tu motisha na kuongeza mapambano ya kila siku hasa kwa wadundulizaji kama mimi Iko hivi, nilipomaliza chuo niliingia zangu kitaa na idea ya kuuza vifaa vya simu na tigo pesa ambayo nilikuwa naifanya toka nikiwa chuoni hasa tukifunga chuo au nikiwa mwanzoni mwa semester...
  19. S

    Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

    Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko. Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
  20. S

    Wananchi waacheni polisi wafanye kazi yao, mitandao ya utekaji huwa mikubwa kuwajua wote huchukua muda mrefu

    Wananchi waacheni polisi wafanye kazi yao mitandao ya utekaji huwa mikubwa kuwajua wote huchukua muda mrefu kama kumaliza ugaidi Waweza kamata mtu asaidie uchunguzi akataja wengine .Wakawa hao wengine wanatafutwa kwa udi na uvumba polisi hawawezi tu kila muda wakishika mtu kesho mahakamani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…