muafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  2. Je, baada ya James Rugemalira wa IPTL kuachiwa huru, nini hatma ya majizi waliotajwa bungeni na Mh. Tundu Lissu?

    Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL? Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia? Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao...
  3. Ni muda muafaka wa kuliokoa Taifa

    Salaam watanzania wenzangu. Dunia imekumbwa na janga kubwa (uviko19) na kila tabaka limepigwa na butwaa lisijue cha kufanya. Baada ya tafakari ya miezi kadhaa, hatimaye suluhisho maridhawa juu ya janga hili limepatikana. Kutokana na maelezo ya wataalamu juu ya ulazima wa kuendelea kujikinga na...
  4. Ni muda muafaka sasa kwa Yanga S.C kubuni 'Mascot' yenye kuleta hamasa zaidi

    Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization. Mascot ya yanga ni nini? Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo inakuwa mascot ya timu? Au ni kandabili? kweli kandambili za kuendea msalani ndo inakuwa mascot ya...
  5. Ni wakati muafaka kuanza kuwafichua wale waliojulikana kama ‘Watu wasiojulikana’

    Habari za siku nyingi wana jamvi. Naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Baada ya kufariki kwa John Magufuli ambaye serikali yake 'haikuwa' na uwezo wa kuwatambua na kuwashughulikia watu wasiojulikana ambao walitesa na kuua watu wetu wengi, sasa ni wakati muafaka wa kuwaumbua na kuwajua wale...
  6. K

    Ifike muda Mwenge wa Uhuru uhifadhiwe Makumbusho ili kupambana na COVID-19

    Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze. Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge! Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge! Tunaanzaje kupona na hii Corona? Wagonjwa wangapi wameathirika kutokana na kucheleweshwa na misafara ya Mwenge...
  7. K

    Muafaka wa kitaifa ni lazima kwa tulipifikia

    Kwa tulipofikia muafaka wa kitaifa sio matakwa ya chama chochote au hata Rais ni kitu cha lazima kama ilivyokuwa Zanzibar. Zanzibar muafaka haujaja mpaka watu wamekufa hii ni kwasababu njia zote za kutisha mpaka kuuwa hazijafanikiwa hivyo sio hiari ni lazima ingekuwa hivyo au kuwa na vita vya...
  8. Sasa ni wakati muafaka elimu ya chuo kikuu itolewe bure, wanafunzi shule za msingi na sekondari wale chakula cha mchana bure, maana fedha ipo.

    Habari! Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni. Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu kwa kuondoa ada au kuwalipia ada wanafunzi wote wa chuo kikuu huku ikiwapa angalau mlo mmoja...
  9. M

    Kauli ya Mdude Nyagali ni sahihi, ni muafaka na CHADEMA wasiingie mtego wa kuikana

    Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza kijana mdude Nyagali, ameonyesha uthabiti wa nia wa kupambana na udikteta na uvunjifu wa sheria na katiba nchini. Mdude ni aina ya vijana jeuri ambao mwalimu Nyerere alisema anataka kuwaona katika nchi hii, ambao wakimuona Bwana mkubwa anakosea basi...
  10. HESLB: Ufafanuzi wa taarifa ya deni katika Salary Slips mwezi Juni, 2021

    Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.
  11. T

    Muda muafaka wa kuanzisha tovuti ya ongea na Rais Samia

    Habari wakuu, Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake. Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
  12. F

    Ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu

    Wakuu, Nimetafakari sana nimeona ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu walioko mataifa mbalimbali hasa Amerika walitoka Africa wakati wa biashara ya watumwa. Kwa sasa technologia na human genetics ni kubwa mno tunaomba mataifa yaanze utaratibu wa kutukutanishwa - Kwa mfano...
  13. Ni muda muafaka kwa sasa Serikali iajiri Manesi, Wahasibu na wataalamu wa manunuzi kwa shule zote za umma

    Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
  14. Tunahitaji Tume ya Muafaka wa Kitaifa

    Ukiptia mitandaoni na magazetini unagundua kwamba kuna watu wengi waliumizwa na utawala wa awamu ya tano. Utagundua pia watu sana hasira na baadhi ya wateule wa awamu hiyo na wapo tayari kulipa kisasi. Kwa uchache wanatajwa Sabaya, Makonda na wengine. Ili tuoneshe ustaarabu uliotukuka kwa...
  15. A

    Ni wakati muafaka wa Kurekebisha Taasisi za TRA na PCCB kufanya kazi kwa Weledi

    Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho. 1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la wahalifu kwa kupora pesa kwa wafanyabiashara kwa kuwabambikiza kodi za juu na za uongo ili kutengeneza...
  16. S

    Kuhusu dhuluma dhidi ya Tundu Lissu ni wakati muafaka sasa uchunguzi huru ufanyike

    Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliotaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
  17. Baada ya Spika Ndugai kuwalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, ni wakati wa wanasheria kumuelimisha kuhusu kutii Katiba bila shuruti

    Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia. Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji. Cha kushangaza Mwambe...
  18. Wakati muafaka sasa paanzishwe Mzizima United

    Mbeya City, Mbeya Kwanza Dodoma Jiji na kadhalika inanifanya nifikirie kuanzishwa timu ya Mzizima City au Mzizima United.
  19. Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
  20. Ni Muda muafaka sasa Tanzania tuwe na Senate "Bunge la mabwanyenye"

    Wingu la siasa za nchi yetu limechafuka kwa mijadala mbali mbali kuhusiana na maswala muhimu ya kitaifa yaliyoibuliwa na ripoti ya CAG pamoja na comments za wadau mbali mbali kuhusiana na ripoti hiyo. Ripoti hiyo imegusia unaosemekana ni ufisadi uliotokana na mambo yanayohusiana na mikataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…