mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    Ndugu zangu wa nyumbani Masasi Mtwara, ni kweli kuna Askari Polisi amefariki kwa kujipiga risasi akiwa kazini?

    Kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa inadaiwa kuwa Askari Polisi mmoja amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa kazini, Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Haijajulikana wazi chanzo cha kujipiga risasi na ni kama kweli amejipiga risasi amepigwa risasi. Taarifa hii nimeona inasambaa chinichini...
  2. H

    Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi awasili Mtwara

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, ili kuelekea mkoani Lindi, leo tarehe 18 Machi 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa...
  3. H

    KOROSHO KOROSHO KOROSHO TSHS 25,000 PER KGS GRADES NO. 1 DIRECTLY FROM MTWARA-TANDAHIMBA 0615326654(Whatsapp and Normal Calls)

    Karibuni Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ. BEI ZETU; Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/= Nusu unajipatia kwa Tshs 12,000/= JUMLA TUNAELEWANA kuanzia Kgs 10 Kulingana na kiasi matajiri zetu Mtahitaji...
  4. A

    KERO Ukipoteza au ukitaka kurekebisha cheti chako cha Chuo cha Stella Maris (Tawi la SAUT - Mtwara) ni ngumu kufanikiwa

    Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho. Baadhi ya wahitimu...
  5. A

    KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  6. Roving Journalist

    Responded MTUWASA: Mahitaji ya maji Manispaa ya Mtwara Mikindani ni makubwa kuliko uzalishaji ambao ni 63%

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa Jamii Forums tarehe 09/01/2026 kuhusu hali ya upatakanaji wa maji katika maeneo ya Cocobeach, Ligula na Shangani. Pia soma ~ Mamlaka ya Maji Mtwara hukata maji...
  7. A

    KERO Mamlaka ya Maji Mtwara hukata maji mchana na kuyafungulia usiku wa manane

    Kumekuwa na utaratibu mbovu wa mamlaka ya maji Mtwara (MTUWASA) kukata maji mchana na kuyaachia usiku wa manane muda ambao Wananchi tumelala, hali ambayo inatufanya badala ya kupumzisha mwili tunaanza kufanya kazi ya kukesha kusubiri maji kisha kukikucha tena tunaingia mtaani kusaka hela. Hii...
  8. B

    Morogoro mvua zinanyesha, kama huna safari ya ulazima kwenda Lindi na Mtwara tulia

    Inajulika miaka mingi mvua zikianza kunyesha ukanda wa Morogoro kwa wingi wanaodhurika na maji ya mvua hizo ni wakazi wa wilaya za Liwale na Kilwa, mkoani Lindi. Kuna wakati mvua zinasababisha barabra kuu ya Mtwara-Dar kufungwa kutokana na kukatika kwa madaraja eneo la Somanga. Sasa kwa mvua...
  9. B

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara na Mwandishi wa Times Oktoba 18, 2025 Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
  10. P

    Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

    Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
  11. L

    GE2025 PICHA: Rais Samia ni nuru. Hakuna kiongozi amewahi kupata mapokezi ya aina hii Mtwara tokea kuumbwa kwa Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake. Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya...
  12. M

    Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na Watumishi wa Umma kwa wizi wa Pembejeo za Korosho zaidi ya Milioni 15

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
  14. A

    DOKEZO Kuna viashiria vya rushwa mikopo ya 10% kwa Vijana, Wilaya ya Newala Vijijini - Mtwara

    Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara. Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu. Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
  15. W

    SI KWELI PreGE2025 Maandamano Mtwara leo ya wanachama wa ACT wakimkataa Mpina

    Kuna hii video inaonekana kama si halisi, naomba uhalisia wake. Na je, ni kweli kulikuwa na maandamano huko Mtwara leo Agosti
  16. N

    Mwaka jana mkoa wa mtwara masasi NIDA zilikusanywa majumbani

    Habari wakuu! Mwaka jana mwezi wa 8 kuna watu walikuwa wakipita kila nyumba kuchukua namba za NIDA , alichokisema polepole ni ukweli mtupu! Wanaccm wezangu ni muda sasa tumuunge mkono Tundu lissu mzalendo wa kweli! Hawa ccm wametutumia sana! Kuanzia sasa nipo kwenye NRE! NIMEUJUA UKWELI
  17. DuaZaMama

    GE2025 Viongozi wa Dini na Polisi Wasisitiza Utunzaji wa Amani Mtwara

    Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025. Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu iliyoandaliwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Mtaa wa Mtepwezi kata ya Likonde Halmashauri...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCM wilaya ya Mtwara yawajibu waliotishia kurejesha kadi zao

    CCM wilaya ya mtwara yawajibu waliotishia kurejesha kadi zao,katibu wa siasa uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi CCM Hamisi Wanyama anena utovu wa nidhamu
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wana CCM kata nne za Mtwara, warundisha kadi zao za chama

    Baadhi ya wanachama wa CCM kutoka kata nne zilizopo mkoani Mtwara wamerudisha kadi za uanachama wao wakipinga uteuzi wa baadhi ya wagombea udiwani kwenye kata zao. Uteuzi huo umefanywa na kamati ya halmashauri kuu ya chama mkoani humo baada ya kufanyika kwa kura za maoni.
  20. Zekoddo

    Viwanja/Maeneo mazuri ya kujenga kwa ajili ya kupangisha Miji ya Lindi & Mtwara

    Wakuu, maeneo gani kwa mji wa Lindi au mji wa Mtwara naweza kupata viwanja vya kujenga nyumba za kupangisha. Viwanja ambavyo watu wanajenga nyumba za kisasa na za kueleweka
Back
Top Bottom