mtume muhammad

  1. M

    JamiiForums Tanzania Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini? Waislamu wanaficha sura au taswira ya Mtume Muhammad (s.w.a)

    Kwema Science na technology iliyopo Sasa Duniani inaweza kupata muonekano wa sura za watu mbali mbali za kale Tumesikia mchakato wa mfanano wa sura ya yesu ulivyopatikana mpaka kupata michoro inayotumika katika baadhi ya vitabu vya kidini Mtoa mada anaomba jibu la kimkakati kama una hasira...
  3. JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

    Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo? Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake. Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad? Kwa Ufupi Mohamad ni...
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh: Mtume Muhammad s.a.w amemtaja Rais Samia na Dkt Nchimbi

    Sio maneno yangu, ni maneno ya Sheikh hapa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  5. JamiiForums Tanzania Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

    Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo. Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril. Swali langu, 1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?. (Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Mtume Muhammad S.A.W Wakati wa nchi ilipokuwa na Migogoro. Jinsi alivyotatua

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana. Njia alizozitumia 1. Alisimamia Mkataba wa Amani โ€“...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo Hukataa Ushahidi wa Mtume Muhammad ๏ทบ Lakini Hukubali Mambo Yasiyo na Maneno ya Yesu Mwenyewe?

    1. Utangulizi Wakristo mara nyingi hudai kwamba Mtume Muhammad ๏ทบ alipokutana na Jibril pangoni Hira hakuwa malaika bali shetani. Hoja yao hutokana na simulizi kwamba Mtume aliingiwa na hofu kubwa. Lakini hoja hii haiko sawa, kwa sababu hata katika Biblia na mafundisho ya Kikristo, kuna mambo...
  8. JamiiForums Tanzania Waarabu wa leo wala hawafanani na babu yake mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake

    Baitul haram iliyopo Makka ndiyo nyumba ya mwanzo duniani kujengwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu (Allah). Nyumba hii iiinuliwa kuta zake kwa mara nyengine na nabii Ibrahim na mwanawe Ismaili.Katika historia ndefu ya nyumba hii ni kwamba imewahi kupitia mikononi mwa makafiri na washirikina...
  9. JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad (S.A.W) ametajwa katika Biblia kwa namna yoyote ile?

    Kama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
  10. JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj. TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
  12. JamiiForums Tanzania Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni: Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin) Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa lasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha Maulid Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mfalme wa Nchi ya Jordan anatoka kwenye Bloodline ya Mtume Muhammad?

    Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad. Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume. Familia ya Kifalme ya Alaouite ya Morocco inadai kuwa nasaba ya Mtume Muhammad katika ukoo wa Imam Hasan ibn Ali. KINACHONISHANGAZA FAMILIA...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitabu vya shule Kenya vyamtukana Mtume Muhammad

    Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w. Katika kitabu hicho kuna picha iliyotajwa ndiyo ya Mtume s.a.w ambapo watoto wanatakiwa waikamilshe kwa kuipaka rangi ili...
  17. JamiiForums Tanzania Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

    Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
  18. JamiiForums Tanzania Mualiko kwa wana JamiiForum: Tarehe 12/12/2022 tutakuwa na Mawlid ya Mtume Muhammad (S.A.W) hapa BAKIIF ISLAMIC

    ุงู„ุณูŽู‘ู„ุงูŽู…ู ุนูŽู„ูŽูŠู’ูƒูู…ู’ ูˆูŽุฑูŽุญู’ู…ูŽุฉู ุงู„ู„ู‡ู ูˆูŽุจูŽุฑูŽูƒูŽุงุชูู‡ู Kama mjuavyo uislamu sio dini ngumu, thamani ya Biriani, Pilau na Ubwabwa, viliwe katika mjumuiko wa kheri ambao MUNGU anauridhia, hivyo tunachukua fursa hii kuwatangazia waislamu wote wa JamiiForum kwamba Tare 12/12/2022 siku ya Jumamosi saa...
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu msikae kizembe, Mtume Muhammad (S.A.W) amecheza michezo mingi ya burudani katika maisha yake

    Uislamu sio dini ya kununa au kukunja uso na userious muda wote hadi kuanza kuogopeka na watu. Uislamu ni dini ya wastani isiyo na aina yoyote ya itikadi kali au ulegevu. Inakataza burudani isiyo na faida na isiyo na manufaa ya kidunia au ya kidini, na wakati huo huo inahimiza kupumzika kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ