mtume muhammad

  1. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Waislamu msikae kizembe, Mtume Muhammad (S.A.W) amecheza michezo mingi ya burudani katika maisha yake

    Uislamu sio dini ya kununa au kukunja uso na userious muda wote hadi kuanza kuogopeka na watu. Uislamu ni dini ya wastani isiyo na aina yoyote ya itikadi kali au ulegevu. Inakataza burudani isiyo na faida na isiyo na manufaa ya kidunia au ya kidini, na wakati huo huo inahimiza kupumzika kwa...
  2. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570. Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

    Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo. ======== Pakistan court sentences three to death for blasphemy Fourth accused, a college teacher, sentenced to...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

    Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
Back
Top Bottom