mtu

  1. JamiiForums Tanzania Hela yote ya Dubai kaichukua, mtu kategwa kategeka mtego waaa!

    Hili jukwaa linaloheshimika sana ! Bwana mkubwa wa hapo beirut Kachukua maamuzi na ku freeze Pesa yooote ya Mauzi ambayo ilikuwa kwenye bank Dubai, account imekuwa freezed kwa maagizo ya Serikali ya Beiruti Nimekumbuka kwenye corridor fulan tulikuwa tunaongea kwa Makamu wa Ufalmeni hapo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, CCM wanaweza kufanya hivyo 2025?

    Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu aamue Nini pale ambapo unapendwa sana na mtu usiempenda

    Unakuta mdada anapendwa sana na kijana ana mshawishi Kila siku ampeleke kwao kumtambulisha Ili taratibu zingine za ndoa zifuate lkn unakuta mdada hampendi kabisa huyo kijana lkn huyo mdada Mahali anapopapenda hapendwi Wala hakuna malengo lkn yeye ndio unakuta anaona ni mwanaume wa ndoto zake...
  4. JamiiForums Tanzania Mume wa mtu sumu kweli?

    Niwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa

    Nimejaribu kuwaza watu wanaochepuka na wake au waume za watu wanajitambua kweli? Hivi wanajua chemistry iliyojengeka kati ya mtu na mwenza wake? Hata kama wenyewe kwa wenyewe watagombana waache lakini usimvue nguo mke au mme wa mtu. Labda mwenyewe ajifunge kwa maneno yake na kujihakikishia kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nini ulijutia Baada ya Kufanya Ngono zembe?

    Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara Nafunga Magoli ya kichwa Mpaka la Mkono Nikaitendea vizuri Mechi Kumbe upandacho Ndio Uvunacho Bada...
  7. JamiiForums Tanzania Unawasilianaje na mtu msiyeelewana lugha?

    Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane? Yaani kama unajua Kiswahili tu na umekutana na mtu anajua Kifaransa, Kiarabu, Kichana au lugha nyingine tu tofauti na Kiswahili...
  8. JamiiForums Tanzania Familia yenye 5 generations wote wapo hai.. kila mtu na mama yake. Bibi wa bibi unamwona yupo hai

    Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

    Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi. Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anatafuta mke yupo serious

    Kanitumia hivi HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana . Awe anaishi dar , awe anafanya kazi Awe yupo tayari kuwa mke. Ila asiwe mchaga. Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo Ni mpenda kanisa . Mrefu...
  11. JamiiForums Tanzania Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

    Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani, uswazi au ushuwani, Bar au kwenye nyumba ya ibada n.k. Je, ni kweli mazingira huwa yanafungamana na...
  12. JamiiForums Tanzania Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  13. JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umeenda lodge na mchepuko wako ghafla ukakutana na mwanandoa mwenzako nae pia ana mtu wake. Je utachukua hatua gani?

    Karibu wakuu, both ME na KE.
  14. JamiiForums Tanzania Kitendo cha kumsahau mtu kabisa

    Wakuu za Jumapili Imenitokea mara tatu. Nimetokea kuwasahau watu hawa kabisa. Mmoja nikawa najaribu kuvuta kumbukumbu nimemwona wapi. Mwisho wa siku hawa watu hudhani ni makusudi kumbe sio. Wa kwanza ni dada mmoja hivi aliyekuwa kama na down syndrome. Miaka ya 2000 hivi. Tuliishi nyumba moja na...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

    Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha. Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign ni mita 130 (google earth photo) Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania, mtu mwenye akili hawezi kuoa/kuolewa

    Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz. Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:- *Umelala? *Umekula? *Unafanya nini? *Uko wapi? Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye mapenzi ya kweli hahitaji kumbadilisha mtu

    Ukiona unampenda mtu halafu bado kuna mambo ambayo unaona unataka uyabadilishe kwa mtu huyo basi tambua hujampenda kwa jinsi alivyo. Mapenzi ya kweli ni kumpenda mtu kwa jinsi alivyo pamoja na mapungufu yake,hapo ndio utakuwa umempenda kweli,na hautakuja kuumia kwakuwa umeridhia kwa jinsi...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayetoa huduma za kisheria

    Tunahitaji kucertify documents Pia tunahitaji Body resolution na Partnership bid Mawasiliano yetu 0687746471
  19. JamiiForums Tanzania Ilikuaje mtu kama majambo alikufa masikini huku akiwa katelekezwa?

    Niaje waungwana, Kwa wale wakongwe wenzang wa enzi zile za miaka ya 80s kurudi nyuma, na hasa wazawa halisi wa mkoa wa Dar es salaam nafikiri mnamjua au kumkumbuka mzee fulani kwa jina mzee Majambo aliekuwa anazunguka mkoa wote wa Dar es salaam na marimba yake akiimba nyimbo zake za kitamaduni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu (HESLB) kumtumia control namba mtu asiye na ajira ni kumuongezea stress, badilikeni!

    Salaam, shalom!!! Ninapata malalamiko mengi Kwa vijana wangu wengi Walio mtaani wanaopambana kujitafuta Ili wapate chochote kitu Cha kujikimu mahitaji Yao na ya wanaowategemea. HESLB, bodi ya mikopo, unapomkopesha mwanafunzi wa chuo, lazima unakuwa na taarifa zake, namba ya simu IPO, namba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…