mtu

  1. C

    JamiiForums Tanzania YESU NI MTU AU NI NAFSI NYINGINE?

    Wanajukwaa naomba mnisaidie hili,hivi yesu ni mtu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.Nimepitia baadhi ya sifa chache za yesu lakini nimeshindwa ku conclude kama ni mtu tu. Baadhi ya sifa zake nilizozipitia ni kama ifuatavyo hapa chini: 1. Kazaliwa na Bikira na hakuwa na baba 2.Ni neno toka kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  3. JamiiForums Tanzania Usimwonee Wivu Mtu yeyote

    Katika nchi hii kuna watu hujui wanapambana na nini. Usidanganywe na jinsi baadhi ya wasichana wanavyojipiga picha na kupost makalio yao kwenye mitandao ya kijamii. Wengi wao huwa wamevunjika moyo tu. Kupitia picha hizo huwa wanatuma ujumbe kwa wale waliowakataa. Usidanganywe na wanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Ukimkopesha mtu laki tatu kushuka chini wewe tegemea umemsaidia wewe unazani atafanyia nini?

    Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo? Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma...
  5. JamiiForums Tanzania Wamebakia kujifariji kila mtu atakufa sijui ni Ideology.

    Yeeeerrrrreeeeh! He is dead. Kafa ama hajafa? Hamas sympathisers sasa hivi wanajifariji wakiwa na maumivu makali ooh kila mtu atakufa sijui Hamas ni ideology. Kwani nani hajui kila mtu atakufa nyie? Kafa ama hajafa? Asante Israel kwa kuwalipizia vijana wetu wapendwa kisasi. R.I.P and the...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini huwa inatokea unamuota mtu ambae umekwisha achana naye?

    Kuna watu ambao wanajikuta wakilala huwaota watu ambao waliwahi kuingia nao katika mahusiano lakini wakaachana. ✍️Zipo sababu nyingi sana lakini kupitia Makala hii utaenda kujifunza sababu kubwa 3 zinazopelekea hali ya namna hiyo. 1. Memories Reviews (marejereo ya kumbukumbu)☑️...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  9. JamiiForums Tanzania Kimfaacho mtu chake

    Habari wakuu, Kama ilivyo kila mtu na starehe yake, wengine pombe, mpira, wanawake, uvutaji Muda si mrefu nilikua nipo kwenye PUBG MOBILE naplay na my teamates hadi saa saba usiku, tukiwa tunafurahia Unakutana na marafiki munabadirishana mawazo hadi #UZI TAYARI #JF STATUS #WAJINGA NDO WALIWAO
  10. JamiiForums Tanzania Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

    Mwaka huu 2024 mwezi wa nne. Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka. Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana. Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku nilikua na mtumia pesa ya matumizi. Huyo dada alinieleza kua ana Watoto 3. Kwa kua nilimpenda...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tunaambiwa tuishi na wanawake kwa akili wakati kimsingi tunatakiwa tuishi na kila mtu kwa akili

    Unajua me huwa sielewi hapo kwamba kuna akili nyingine ya ziada tofauti na hii unayotakiwa kuitumia ili ukae na mke..nachojua kila mtu aliye mbele yako unatakiwa utumie akili uwe mjanja uwe mwerevu ila pia uwe mpole uwe kama njiwa pia uwe kama nyoka yaani full akili muda wote.ukifanya hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mtu mtata mwenye gubu mjuzi wa kila kitu mbishi wala haambiliki?

    Wakuu tumegeane maujuzi hapa maana mara nyingi unakuta watu hawa wana wenzi wao au inakuwa ni geresha tu ya kuwababaisha walimwengu huku nje lakin huko ndani wanalala vitanda tofauti?
  13. JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania UTI kali kwa mke wa mtu

    Wakuu salaam. Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyoongea hapa nimetoka kununua dawa ya kummaliza huyu...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mtu nafahamu kiasi gani cha pesa kimetumika kufanya Land Rover Festival ya Arusha?

    Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa. USSR
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

    Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mngetaja humu sehemu ambazo magari yatakuja kutuchukua. Tukamwone mama. Kila mtu ajue atapandia wapi kupelekwa Uwanjani

    Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia. Ni bora ijulikane vitajwe vituo ambavyo mabasi na malory yatakuwa yanatusomba. Wote tunapenda tukapate nafasi ya kubadili...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Huyu mtu kweli kajichinja au wamechinga baada ya kugeukana?

    Kuna video inasambaa inayodaiwa ni ya mtu mmoja alieua na kisha nae kuamua kujichinja. Mtu huyo pia anadaiwa kuwa alikuwa anatengeneza vinywaji feki na kuviuza kabla ya mambo kuharibika baada ya kuwa ameua mwenzake anaedaiwa kuwa alikuwa mfanyakazi wake. Binafsi najiuliza, hivi kweli mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu asiye na jinsia

    Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”… Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii inaitwa “Non-binary” yaani asiyetambulika kwa jinsia yoyote (Siyo KE wala ME)… Mtu wa jamii hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anaandika matusi na content ambazo hazieleweki fanya hivi.

    Ukikutana na Contents ambazo hazieleweki Fanya hivi Angalia huyo anayeandika amejiunga lini JF ukikuta ni 2020-2024 usiangaike kumjibu Hao ni vijana wa Facebook Hapa JF kuna I'd moja ya mkongwe ambaye hataki kukua kiufahamu anajiita po po ma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…