mtu

  1. Kitendo cha kumsahau mtu kabisa

    Wakuu za Jumapili Imenitokea mara tatu. Nimetokea kuwasahau watu hawa kabisa. Mmoja nikawa najaribu kuvuta kumbukumbu nimemwona wapi. Mwisho wa siku hawa watu hudhani ni makusudi kumbe sio. Wa kwanza ni dada mmoja hivi aliyekuwa kama na down syndrome. Miaka ya 2000 hivi. Tuliishi nyumba moja na...
  2. X

    Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

    Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha. Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia campaign ni mita 130 (google earth photo) Secret Service Agents baada ya kufanikiwa kumuua shooter...
  3. G

    Kwa Tanzania, mtu mwenye akili hawezi kuoa/kuolewa

    Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz. Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:- *Umelala? *Umekula? *Unafanya nini? *Uko wapi? Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio...
  4. Mwenye mapenzi ya kweli hahitaji kumbadilisha mtu

    Ukiona unampenda mtu halafu bado kuna mambo ambayo unaona unataka uyabadilishe kwa mtu huyo basi tambua hujampenda kwa jinsi alivyo. Mapenzi ya kweli ni kumpenda mtu kwa jinsi alivyo pamoja na mapungufu yake,hapo ndio utakuwa umempenda kweli,na hautakuja kuumia kwakuwa umeridhia kwa jinsi...
  5. Natafuta mtu anayetoa huduma za kisheria

    Tunahitaji kucertify documents Pia tunahitaji Body resolution na Partnership bid Mawasiliano yetu 0687746471
  6. Ilikuaje mtu kama majambo alikufa masikini huku akiwa katelekezwa?

    Niaje waungwana, Kwa wale wakongwe wenzang wa enzi zile za miaka ya 80s kurudi nyuma, na hasa wazawa halisi wa mkoa wa Dar es salaam nafikiri mnamjua au kumkumbuka mzee fulani kwa jina mzee Majambo aliekuwa anazunguka mkoa wote wa Dar es salaam na marimba yake akiimba nyimbo zake za kitamaduni...
  7. R

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu (HESLB) kumtumia control namba mtu asiye na ajira ni kumuongezea stress, badilikeni!

    Salaam, shalom!!! Ninapata malalamiko mengi Kwa vijana wangu wengi Walio mtaani wanaopambana kujitafuta Ili wapate chochote kitu Cha kujikimu mahitaji Yao na ya wanaowategemea. HESLB, bodi ya mikopo, unapomkopesha mwanafunzi wa chuo, lazima unakuwa na taarifa zake, namba ya simu IPO, namba ya...
  8. Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
  9. Sasa hivi ukiwa watembea ukimtizama mtu ni kosa

    Ukimtizama bodaboda, ni kosa atakurukia na kukuuliza kwa lazima kama waenda, Ukimtizama muuza duka kosa Ukimtizama konda kosa... Ukimtizama mpiga debe kosa kubwa sana.... Ukimtizama tu au kutizama winga na bidhaa zake ni kosa kubwa sana.. Ukitaka usipate bugudha na safari yako tizama mbele tu...
  10. Bado najifunza ila zifuatazo ni baadhi ya chachu zinazopelekea mafanikio kwa mtu.

     BAHATI Mfano: Kuzaliwa katika familia ilio na mafanikio kupelekea kupatiwa mtaji, kurithi mali au kujiungana na biashara ya familia. Mfano: Mara paap unachimba kisima eneo la nyumbani kwako unakutana na ukanda wa dhahabu. KUKUTANA NA WATU SAHIHI KATIKA WAKATI SAHIHI NA MAHALI SAHIHI. Mfano...
  11. Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
  12. Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

    Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini. Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
  13. Mtu akikutishia kukuua wewe na familia yako unatakiwa kufanyaje?

    Habari wakuu. Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote. Je nichukue hatua gani wakuu?
  14. KWELI Mtu anaweza kupata mzio kutokana na matumizi ya kondomu

    Nimepata kukutana na marafiki zangu kadhaa na wamekuwa wakidai kuwa, wao hawapendi kabsa kutumia kondomu wakiwa kwenye faragha zao, huku wakidai kuwa mafuta au vilainishi vilivyomo ndani ya Kondomu zinawafanya wapate upele pamoja na miwasho. Naomba kuuliza, Je ni kweli matumizi ya Kondomu...
  15. Kuna Mtu ameapa mahala na Kujiaminisha kuwa Chama anaenda Yanga SC na kama haendi afanyiwe Kitu ambacho hakielezeki Kiurahisi

    Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona za Mtu Mmoja maarufu sana Mitandaoni Kuumbuka na Watu kutaka Kukitimiza kile ambacho katika Biblia...
  16. Mgomo umefika Mbagala waathirika ni kila mtu

    Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga. Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga. Madhara kwa wote Wafanyakazi, bodaboda, bajaji, guta(toyo) wasukuma mikokoteni, na watu mbalimbali hawana cha...
  17. Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  18. N

    Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  19. Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

    Hi Guys My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana? Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo...
  20. M

    Ni nini hasa kinafanya mtu anabadilika mwili na sura haraka..?

    Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano wa sura na mwili kwa ujumla. Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…