mtu

  1. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  2. Jesusie

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Hakuna atakayemwaga damu ya Mwanakilosa mwenzake tena, sio damu tu hata wa kumwaga Mkojo hapa hayupo tena-VIdeo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma, Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji, DC...
  3. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyerogwa .

    Habari zenu ndugu wanajamii forum. Tujadiliane kidogo mbinu za kumnusuru mtu aliyepata madhara ya kutupiwa uchawi. Nasikiliza mawazo yenu.
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila jambo la aibu kwa mtu wa bara, ni jambo la kawaida sana kwa mtu wa pwani

    Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja kwako kupiga stori chai itapikwa hapo mtakunywa wote na mwingine anakuja na watoto wake kabisa ...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Halafu kuna watu sijui walizaliwa na bahati gani wengine tulikosa, Yani mtu ana pendwa kila sehemu, watu wanajitoa kwajili yake, anaweza kuishi popote

    Hadi wengine mnaweza kudhani mlikanyaga chura au mlirukwa mkiwa wachanga na watu wenye mikosi 😂 Ni zaidi ya kismati waweza dhani kuna mitishamba Mtu yupo kawaida tu lakini hata azingue kazini bosi anaona kawaida, Iga wewe sasa !, mtu akifikia sehemu tayari kiwingu kimemzunguka cha watu, awe...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Pamoja na hali mbaya tuliyonayo kisiasa, Heri rimoti kaishikilia mtu alietoka kabila dogo na sio mdini, Ni heri nusu shari kuliko shari kamili

    Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili. Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ? Imagine Rimoti ingeshikwa na mdini, aiseee ? Na bado ninaendelea kuwakumbusha, Kumuondoa mwenye remote kwa...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kila mtu wa Dar ni tapeli

    Dar Kuna nini? Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli. Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü Ukimwagiza mahala anapotea Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna...
  9. blogger

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mtu halali kuidhinisha kitu halali ilhali wewe mwenye 'sihalali' Yani hujapatikana Kwa haki

    Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1 kama mtu hakupita kwa haki. HATUA STAHIKI ZIFANYIKE SASA.KAMA TAIFA. NI MUDA WA KUWEKA MASLAHI...
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuonesha mapenzi, unapiga picha unampa mtu anaweka kwenye album, akiiangalia anafurahi. Sasa hivi mnapeana nini?

    Ilikua ukipewa picha na mtu ni zawadi kubwa sana na ushahidi kua huyo mtu ni wako, je sasa hivi mnapeana nini ?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Timu ilimtaka Jonathan Sowah kwa Mkopo kama ilivyozea huku ikijitamba ni Tajiri na ina Mtu wao huko huko alikotoka Sowah?

    Mwenye nae aliwaambia pamoja na kwamba Mimi ni Mwenzenu na nawapenda mno halafu nimeshawapeni sana Wacherzaji wazuri kwa bure bure ila kwa huyu Jonathan Sowah siwapeni hadi mniingizie Shilingi Bilioni 1 ili inisaidie pia katika Kampeni zangu Mkoa wenye Wanawake wazuri, wepesi Kutongozeka na...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Utafiti wa Tuskegee juu ya ugonjwa wa Kaswende ulivyokua wa kikatili kuangamiza Wanaume Weusi Marekani

    Katika historia ya matukio ya kustaajabisha yaliyofanywa na taasisi za serikali kwa jina la “sayansi”, hakuna tukio lililojaa huzuni, udhalilishaji, na ukiukwaji wa maadili ya kibinadamu kama Utafiti wa Tuskegee kuhusu ugonjwa wa Kaswende (The Tuskegee Syphilis Study) uliofanyika kuanzia mwaka...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea pombe ya kunywa nyumbani?

    Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mungu hamfurahii mtu anayesitasita. KANUNi za kimUngu zinazoendesha Dunia hazitakuunga mkono

    “Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.” Waebrania 10:28 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo. Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita. Anataka au...
  15. Maleven

    JamiiForums Tanzania Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

    Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
  16. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kumtisha Samia, ni kumtishia mtu mzima nyau!

    Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030! Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata! Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
  17. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

    Wakuu mpo wazima hapa. Leo nimewaza tu. 1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania 2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake. 3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya...
  18. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  19. Drax001

    JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kumuona mtu whatsapp muda wote yupo online hadi saa nane za usiku soma hii..

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama umekosea kuoa/kuolewa. Namaanisha kama upo kwenye ndoa au uhusiano na mtu ambaye si sahihi kwako njoo hapa kuna tiba.

    80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao. Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote wanaweza kuwa sahihi kwako . La haula baada ya kufunga ndoa, baada ya kuzaa na mtu ndipo unagundua huyo mtu...
Back
Top Bottom