mtu

  1. Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
  2. Mtu anayetoa kwa ukarimu hupokea zaidi ya kile ametoa

    Mithali 11:24 NENO [24] Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, mwingine huzuia, lakini huwa maskini. Tukizungumza kuhusu utoaji, kila mtu ana picha yake kuhusu utoaji, wapo hufikiri wakitoa watapungukiwa, wapo hufikiri kutoa sio jambo la lazima, wapo wanajua wakitoa watabarikiwa...
  3. Kwanini mtu akifeli kimaisha anakuwa "sadist"

    Hali hii mara nyingi naiona hasa kwa watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea, unakuta kapambana sana hapo nyuma Kuna fursa alizipata akazichezea matokeo yake anakuwa na hali flani mbovu ya kiuchumi . Sasa kinachokuja kutokea hapa kila atakaekuwa anakutana nae na anapitia maumivu...
  4. M

    Vyakula hatarishi kwa mtu mwenye acid reflux

    Baadhi ya vyakula hulegeza misuli ya LES (Lower Esophageal Sphincter) hivyo husababisha kuruhusu asidi ya tumbo kurudi juu. Pia huchelewesha mmeng’enyo wa chakula, hivyo chakula hubaki tumboni kwa muda mrefu zaidi. Kwa mwenye changamoto ya acid reflux inamlazimu ache kutumia vyakula hivyo...
  5. M

    Hakuna faida yoyote ambayo utamweleza mtu akaelewa vizuri

    Toka enzi timekuwa tunaona mwenge unazungushwa Nchi nzima na kuteketeza mabilioni ya pesa,kwa upande wangu mimi sioni faida za kukimbiza mwenge zaidi ya kupoteza pesa na kuwapumbaza wananchi. Mahala popote mwenge unapoenda sina hakika kunamwananchi utamuuliza faida za mwenge na akakupa majibu...
  6. MwanaJF Dennis Roberts ni mtu sahihi kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Kamati kuu ya CHADEMA impigie magoti kumuomba ajiunge na chama chao na kumpa nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa ikijitambulisha kama chama cha watu wasomi wenye akili nyingi. Huyu Dennis ni msomi anayeongelea kwa undani sana kuhusu Nuclear power, Solar systems...
  7. Unaanzaje kujipa uhuru kiasi hiki ilihali uko kwenye chumba cha mtu?

    Ni wiki ya pili sasa naishi na mshkaji wangu X kwenye geto langu hapa Dsm kutokana na sababu zisizowahusu (Ninae nyumba mkoani, nipo hapa Dar kama mfanyabiashara X wa kupita tu) Jana usiku mida ya saa 4 nimebisha hodi nikiwa natoka mishen town, jamaa akawa anaitikia kwa mashaka huku anakukuruka...
  8. Hakuna mtu hatari kuwa naye kwenye mahusiano kama mtu "anayehitaji kupendwa"

    mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na wanataka wapendane sasa unajiuliza hawa watu wao wenyewe tu hawana upendo ndani yao, hiyo nguvu ya...
  9. Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  10. Mke wa mtu ananitongoza, anatishia kuniendea kwa babu Niki endelea kumkataa

    Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa. Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali” Wakuu...
  11. Eti mtu anasifu mama kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam ni mfano wa uwezo kufanya maamuzi magumu.

    Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
  12. Unaweza kuwa hujashiriki dhambi kimatendo ila umeshiriki dhambi iliyofanyika kwa watawala kumuangamiza mtu yoyote

    Hata Yuda alijua vipande vya pesa alivyopewa alijua ndio mwisho wa kumchoma yesu lakini alijikuta kama ameshiriki kifo cha Yesu. Vitendo vya kukubali au kubariki watawala kuanzia wananchi kuwassuport mpaka uchangiaji humu na kutoa ushirikiano ili watu waumizwe kumbukeni wote ni washiriki. Kwa...
  13. Machafuko kwenye nchi yanatokana pale mtu anapojawa na tamaa za madaraka

    Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka. Hii inaweza kupelekea vita vya sisi kwa sisi Tanzania kwa sasa sio salama tena kuna uwezekano wa machafuko kutokea hatakama watanzania...
  14. Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  15. M

    Imarisheni ulinzi wa viongozi wetu kama wao wanavyoimarisha ulinzi wa mtu wao

    Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:- 1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi. 2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano...
  16. Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

    Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa.. Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade). Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema...
  17. Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  18. Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

    Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo...
  19. Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  20. Mtu wa kwanza kukamatwa lile tukio la kujeruhiwa kwa Padri Kitima mbona hapelekwi mahakamani? Au movie imebuma?

    Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni? Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima. Move imekuja kuharibika kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…