mtu

  1. IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

    ==== Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake. Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
  2. Aliyevujisha siri na kusababisha Al-baghdad kuuliwa ni mtu wa karibu na amelipwa $25 milioni

    Mzuka! Siku zote kikulacho ki nguoni mwako. Inasadikika aliyevujisha siri alipo gaidi boss wa ISIS Abubakar Al Baghdad alikuwa mtu wake wa karibu. Jamaa huyo ambaye ni mwarabu wa sunni huenda alichukua uamuzi huo kumsaliti Al Baghdad baada ya familia/ ndugu zake kuuawa na ISIS. Kabla...
  3. Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

    Jana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi. Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli...
  4. S

    Ile route ya kupeleka nyama Dubai iliishia wapi?

    Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida. Swali langu ni je,route hiyo imekufa? Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya...
  5. Mtoto mpya ana raha yake asikwambie mtu

  6. S

    Kwa mambo haya, mtu mweupe lazima aendelee kuwa tajiri na mtu mweusi abaki kuwa masikini

    Ameandika Zitto kupita twitter: Russian leader boasts he has signed military agreements with 30 African countries this week - accompanied by deals for military helicopters, fighter jets and armoured vehicles Tweet ya Millard Ayo nayo inasema hivi: “Ndege nyingine nne zitaendelea kuja nchini...
  7. Huku ‘ Mwarabu ‘ akiwa tayari ‘ Kumbikiri ‘ Mtu huko Mwanza Jumapili tayari Mabondeni Mafuriko FC wameshaanza ‘ Visingizio ‘ vyao

    Kocha wa Yanga sc amesema moja kati ya vitu ambavyo wachezaji wamekosa ni malengo.. . “ Inatakiwa toka mwanzo wa msimu mchezaji aweke malengo kwamba mimi kama kiungo lazima nitoe pasi za mwisho zaidi ya kumi na kufunga magoli zaidi ya kumi ktk msimu. Lakini ukiangalia wengi wanavyocheza ni kama...
  8. Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

    Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…