Ile route ya kupeleka nyama Dubai iliishia wapi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.

Swali langu ni je,route hiyo imekufa?

Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?

Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
 
Ile haikua kwenye plan, ni ilitokea tu, so you can't judge an opportunity, you just take it ikiisha you look for another one , mbna pia izi ndege zinatumika kwenye maonyesho:

Opportunity ni opportunity tu,
 
HIZI NDEGE HIZI, YANI UNAANZISHA BIASHARA AMBAYO HUJAJUA HATA SOKO LAKE LAZIMA ULE HASARA

You can't start a business ukiwa 100% sure kwenye soko, MTU yoyote anaefanya biashara anajipa imani someday things will work out well, business sio kama ajira unasubiria fixed mwisho wa mwezi, at anytime any other opportunity can arise ,

MFANO south African airways has best airplanes services in Afrika, but it has frequent looses, in other words inaendeshwa kwa hasara: but haimaanishi wengine wasijaribu : see Ethiopia airways so profitable that it contributes to the country growth
 
Hamna bana maelezoo mengi. Bora binti wa chekechea awe rais kuliko Jiwe
 
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.

Swali langu ni je,route hiyo imekufa?

Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?

Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
Umeambiwa majaribio inawezekana wameona haina tija
Kumbe unafuatilia sana maendeleo ya shirika letu!mbona unajifanya kuponda na wala huna habari nalo
 
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.

Swali langu ni je,route hiyo imekufa?

Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?

Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?
Ukikumbuka wanunuzi wa "kirohoshow" walikoishia utajua huko kusafirisha nyama kulikopotelea....
Tatizo la nchi yetu ni kukosa vipaumbele na management...
 
Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida.

Swali langu ni je,route hiyo imekufa?

Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya majaribio?

Au safari ile ilikuwa ni dili tu kwa mgongo wa kufanya majaribio?

Hakuna route ya mbuzi wa nini!

Ipo route ya Njombe!

So sad!
 
Back
Top Bottom