mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kama unataka kufilisika kibiashara fanya au ajiri mtu kutoka kanda ya ziwa

    Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni suala la kawaida tu kwao au kukuroga...
  2. JamiiForums Tanzania Hadi leo mtu mweusi bado anakamatwa na kuuzwa, utumwa dhidi ya mtu mweusi ni kama jadi kwa baadhi ya waarabu, miaka 1400 ya kutuuza haikutosha.

    Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa. Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Nikimwona mtu mitandaoni au mahali popote anamtukuza Magufuli najua tu kichwani hamnazo au alikuwa mnufaika kwenye utawala wake

    Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana. Ahahaha ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Huu ni uwendawazimu kabisa. Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

    Hongereni kwa darasa la sheria kutoka kwa mh. Ndugu T.A.M LISSU. Nipo na mke wangu sasa ni mwaka wa 4 sijwahi mpiga hata kofi maana anajitahidi kwenye utii kwa kweli. Alimleta mdogo wake wa kike huku na alipofika nikaona yupo yupo tu niliamua mtafutia sehemu angalau awe anajifunza ufundi wa...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu kanionesha mtu muhimu akiwa katika umauti.

    Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo. Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa yupo katika mauti nikajaribu msadia zikatoka farasi kumi wamebeba watu 10 wakitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza

    Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
  7. JamiiForums Tanzania Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi. Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais. Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Salva Kiir ameteua Mjumbe aliyekufa kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ubakaji, Kutesa, Kuua, Kupoteza? Makosa ya Samia ni makubwa mno machawa zidisheni maombi. Hapa haponi mtu

    Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi.. Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu. Lakini Unateka...
  11. JamiiForums Tanzania Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana. Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
  12. O

    JamiiForums Tanzania AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  13. G

    JamiiForums Tanzania Naenda kudai mtoto wangu kwenye ndoa ya mtu

    Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia. Sasa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  15. JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Pato la mtu mmoja nchini laongezeka karibu mara tatu

    Tathmini ya utekelezaji wa mipango mitatu ya maendeleo ya miaka mitano imebaini mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyopatikana kupitia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025, hususan kuongezeka kwa pato la mtu mmoja mmoja. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Februari 2...
  16. JamiiForums Tanzania Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?

    Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nimependa post ya mtu anajiita Papaa Mokonzii huko X. Isome hapa chini

    Bora Makonda maana anajulikana kichwani kabeba mavi! Sasa huyu na ma-PhD yake hapo anaongea uharo gani https://x.com/PMadeleka/status/2017884573984592042
  18. JamiiForums Tanzania Ebu tazama huu ulinganishi wa silaha na budget ya kivita kati ya US na IRAN alafu kuna mtu anaandika humu kuwa US amekimbia baada ya kutishwa na Iran

    โœˆ๏ธ Total Military Aircraft: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โŸถ 600+ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA โŸถ 13,000+ ๐Ÿš Attack Helicopters: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โŸถ 150+ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA โŸถ 5,400+ ๐Ÿ’ฅ Missiles: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โŸถ 3,000+ (short & medium range) ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA โŸถ 10,000+ (ICBM, cruise, precision) ๐Ÿ›ฉ๏ธ UAV / Drones: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โŸถ 2,000+ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA โŸถ 11,000+ ๐Ÿ›ก๏ธ Tanks: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โŸถ 2,000+ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi. Inakuwaje akusitiri ilihali yeye hajajisitiri?
  20. JamiiForums Tanzania Chuki juu ya mtu ni sawa na kuchukua sumu na kuiweka mdomoni mwako kisha unasubiri imuue mtu unayemchukia. Utakufa mwenyewe

    Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi. Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa au unamchukia mtu kwasababu ya ujinga uliokukandamiza. Yaani haupaswi kumchukia mtu. Nyie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ