Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi.
Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais.
Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza!
Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!)
mi sikuwahi kumuona lakini...
Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea.
Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu majumbani lakini walikataa elimu kwa kuona kupiga msuli ni mateso.
connection zilikuwepo za kazi...
Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii.
Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
Tunatia aibu kwakweli unaona kabisa mtu mzima amesoma lakini bado anashangaa nyumba za watu kwa kulalamika as if amekatazwa naye kujenga nyumba Kama hyo anayoishangaa, hebu vitu Vingine acheni viwapite.
Eti oooh! Marehemu kaacha nyumba kubwa Sana, ww inakuhusu Nini? Eti oooh siasa inalipa kwani...
Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030!
Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata!
Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
Mtu anapevuka na KUWA na uwezo wa kuzalisha au kuzalishwa mtoto siku hiyo huyo mtu amekuwa mtu mzima.
Yaani mtu anaanza kuhesabika ni mtu nzima (adult) akimaliza Darasa la Saba.
Umri wa miaka ya ujinga ( foolish age) ni ujanja wa wazungu kutuzubaisha.
Nimekuja kuifuatilia hata wanafunzi wa...
Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini.
Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi).
Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi umri ili awe mke wangu wa ndoa.
Naahidi nitamskikiza na kumtii kwa kila kitu akitakacho, email yangu...
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani.
Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu.
Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha.
Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
Tunaelekea wapi kama wanaume?
Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
Hello, nahitaji mume mtu mzima, miaka 45-78. Mwanaume mtu mzima ambaye yuko tayari kuwa na mimi anicheki WhatsApp kwa maongezi zaidi 0747855329.
UNAPOKUJA PM ZINGATIA MAELEZO.
Wakuu natumaini mu wazima wa afya,....
Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale inapobidi,...
Kwangu mimi , nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikiwaona WATU WAZIMA wakiongea PEKE YAO njiani, basi...
I will be short
Humanity is hard work
We do a lot of mistakes , bila kuwa na mganga wako wa kureverse some things . Stress na mistakes zitakuua . It’s no joke
Mimi ni pure Christian . Ila watu wana ni push to the Limit . Unakuwa mwema watu wanataka vita .
,
Kazini vita , mtaani vita ...
Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba.
Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea!
Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance Iko vizuri!
Story Iko hivi! Tulitishiana na mdada baada ya kuona mienendo yake sio mizuri! Yeye...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na mabadiliko na maendeleo ya sayansi na teknolojia tubadilishe pia sera zetu kwa vitu vya maendeleo
Miaka ya leo miaka kumi na nane ni mzee, mtu ana kua kijana toka miaka 16 wenzetu china miaka kumi na sita anatengeneza saa, sahani za udongo...
Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo.
Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.