mtu mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inawezekana kupokea gari bandarini na kusajili kwa niaba ya mtu mwingine?

    Habari wakuu, Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi. Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
  2. Mwaka 2024 usiache mtu mwingine aendeshe maisha yako

    Maisha yetu wakati mwingine hukabiliwa na mikwamo mingi sana inayotokana na kuwaachia watu wengine kuendesha maisha yetu. Mwaka 2024 uwe ni mwaka wa kukataa watu wengine kuendesha maisha yetu. Kama unataka kumuomba Mungu juu ya Maisha yako, omba mwenyewe Achana na kubebeshwa vitu na...
  3. Tunahakikishaje kuwa ni yeye kweli au amekuwa Cloned? Amerudi mtu mwingine?

    Huu ulimwengu watu wanakuwa cloned. Unaweza kuta Makamu alishafariki huko alikokuwa. Wametumia huu mwezi mzima ku mclone na kum coach mtu mwingine kumrudisha TZ. Hii Dunia hii.... Kwa sasa kila kitu si kama kinavyoonekana. Macho yamekuwa yakidanganywa sana.
  4. Akubali Mtu Mwingine kum"Kiss" Mpenzi wake kwa Gharama ya Tsh 500,000/=

    Katika pita pita zangu huko Kwenye mitandao nikakutana na Hii prank ambayo ikaniacha mdomo wazi.. Kuona Mwanaume mwenzangu akikubali Mpenzi wake au Mchumba kama wanavyoitana apokee upako wa Busu Kwa malipo ya Tsh 500,000/= Ukiangalia mpkaa mwisho utamkuta ndugu mtangazaji akimshawishi Kumla...
  5. R

    Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  6. Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu. Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii. Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live...
  7. Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  8. Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  9. Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

    Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine. Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu? Mithali 6:16-17 inasema 16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
  10. Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

    Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja. ๐—Ÿ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ? Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
  11. Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  12. Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  13. Mtu anaemubagua Mtu mwingine Kisa haamini katika Dini za Leo, huyo Mtu hajayaelewa Maisha hata Kidogo

    Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu. Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani? Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya...
  14. Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
  15. D

    Kuna faida gani ya furaha au huzuni yako kumfikia mtu mwingine asiyehusika?

    Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia! Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine! Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
  16. Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  17. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  18. Nashindwa kupenda mtu mwingine

    Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu. Nisaidieni...
  19. Naomba kumjua Mbunifu wa Mtu 'Kuguna' akiwa Msalani ( Chooni ) pale akisikia Mtu mwingine anakuja Kuingia humo humo

    Ni kwanini Mtu aliyeko Chooni hasa akiwa Anakunya ( Wazaramo wanasema Anaukweka ) akisikia kuna Mtu mwingine anakuja Kuingia humo huwa anawahi Kuguna ( tena kwa Nguvu ) kama sehemu ya Kumjulisha ajaye kuwa yupo? Na Ugumu huwa unakuwa wapi kwa Mtu aliyeko Chooni ( Msalani ) kutoa tu Sauti kwa...
  20. Swali la kufikirisha: Hivi mwanaume unaweza kumgundua mke/girlfriend wako kuwa hapa ametoka kufanya mapenzi na mtu mwingine?

    Naskia wamama hasa kwa watoto wao wa kike wanauwezo mkubwa wa kujua kua huyu binti yangu ametoka kudinyana. Pia, naskia mademu zetu au wake zetu wana exceptional capability ya kueza kutugundua vidume kua tumetoka ku chepuka. Ila swali hapa ni je sisi wanaume tunaweza kigundua kuwa mademu/wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ