mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi.

    Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa... Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀 Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

  3. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  5. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  6. JamiiForums Tanzania Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameuawa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

    Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko. Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Siielewi hii kampeni: Mtoto wa leo ni Samia wa Kesho

    Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?. Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Freeman Mbowe (Nicole) aachiwa na Jeshi la Polisi

    Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024. - LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024 Nicole ameonekana nje ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

    Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza. Hii inaweza kuwa shida gani?
  14. JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikudhani kama nitakuja kulea mtoto wa mtu ila huyu dogo kabadilisha mtazamo wangu

    Hastaili kabisa kuishi bila baba
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nyoka ni nyoka; Isack Mwigulu atoa msaada wa ream paper kwa Uvccm Singida

    Like father, like son!
  16. JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wa miezi 6.5 hatambai wala kumove

    Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miezi 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna... anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa. Nimekuja kwenu kutaka ushauri nini chakunya aweze kutambaa kumove na kusimama. Naaambiwa kuwa na watu kwa umri...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la kunesa kichwa kwa mtoto wa mwaka mmoja

    Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya kwanza mfano akiangalia TV at the first look ananesa kichwa then anakaa sawa au akiangalia mtu,kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…