mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MERRY CHRISTMAS KWENU, MTOTO AMEZALIWA

  2. JamiiForums Tanzania Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  3. JamiiForums Tanzania Je, CHRISTIANO RONALDO ananafasi ya kuchukua KOMBE LA DUNIA kupitia kwa mtoto wake CRISTIANO RONALDO JR?

    Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
  4. JamiiForums Tanzania Katavi: Mtoto wa miaka sita ajinyonga akibembea kwenye mwembe

    Mtoto mwenye umri wa miaka sita(6) Tumain Emanuel mkazi wa kijiji cha Ndurumo wilayani mpanda mkoani katavi amekutwa amejinyonga kwenye mti wa mwembe. ======= Mtoto wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  6. JamiiForums Tanzania Kaniachia balaa mtoto wa msumbiji

    Wanajamvi jamvini, Huu u single unanipeleka kubaya hatari maana na kila demu mbele yangu siachi na walivo maji mara moja sasa daa unatongoza jioni usiku unakula. Sasa nikiwa na mademu zangu wa wiwili nikitafuta ufundi zaidi si nikakutana na mtoto wa kimakonde anajidai wa msumbuji, ilo balaa...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto miaka 2.3 haongei

    Habari, Mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei, nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama kikubwa tukashauriwa tumpeleke hosp wakakate. Tumeenda Rabininsia specialist akamcheki akasema hiki...
  8. JamiiForums Tanzania Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

    Chibu kastukia Chezo la kusingiziwa mtoto. Kaona amtolee mbavuni madam Salome. Kuna kitu cha kujifunza Kwa hawa slay Queens wa mchongo.
  9. JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumtupa mtoto wake Mto Ruaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopewa mamlaka ya ziada mkoani Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Abuutwalib Seif (34) Mkazi wa Igumbilo, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumtupa mtoto wake Khadija Seif (5) mto wa Ruaha. Mtoto alikuwa ni mlemavu wa viungo. Akisoma kesi hiyo jana Hakimu...
  10. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mzazi au mlezi anatakiwa kuzingatia pindi mtoto akiwa likizo

    Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya: 1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku. 2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule. 3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu. 4. Jadiliana naye...
  12. JamiiForums Tanzania Kichanga aliyepotea Kagera kwa siku 7 apatikana Dodoma

    Mtoto wa mwezi mmoja, Benitha Beneti ambaye alikuwa ameibwa nyumbani kwao Mtaa wa Migera, Kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera amepatikana akiwa hai mjini Dodoma baada ya kupotea takribani wiki moja. Mtoto huyo aliibwa Desemba 01, 2022 akiwa amelala kitandani ndani ya nyumba baada...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Eduardo Camavinga alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 11

    Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11. Picha1: Camavinga akiwa na mtoto aliyehisiwa ni mwanaye Picha2: Camavinga akiwa na wazazi wake na ndugu zake
  15. JamiiForums Tanzania Tabora: Aliyeua mtoto baada ya kumkuta mama yake na ARV ahukumiwa kifo

    Hukumu imetolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora dhidi ya Haruna Ndayanze baada ya kumkuta na hatia ya mauaji hayo kwa madai alibaini Mama wa mtoto anatumia Vidonge vya Kufubaza Virusi vya UKIMWI. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya, Demetrio Nyakunga alisema Mahakama imeridhika na ushaidi na...
  16. JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Mambo vipi wakuu, Nimemaliza chuo mwaka jana, I am 24. nipo nakaa hapa nyumbani ila kuna tatizo la kiimani. Mom analazimisha kila jumapili niende kanisani. Kiuhalisia mimi saivi sina imani kabisa na kanisa au maswala ya Mungu naona kama ni utapeli na mambo ambayo binadamu walitengeneza tu...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la korodani ya mtoto mchanga kupanda juu kuelekea tumboni

    Wasalam JF, Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri. Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri. Leo hii nimemchunguza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Manyara: Ahukumiwa kifo baada ya kunyonga mkewe na mtoto baada ya mkewe kumkatalia kuongeza mke wa pili

    Mahakama ya Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imemhukumu Shamsudini John maarufu SIKUKUU mwenye miaka 35 kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwauwa kwa kukusudia kwa kuwanyonga kwa kanga mkewe Asia John aliyekuwa na umri wa miaka 25 na mtoto wake Ahmed Shamsudini aliyekuwa na miaka Tisa (9) baada...
  19. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

    Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1. Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…