mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jina la mtoto limekosewa kwenye matokeo ya darasa la saba, msaada wa nini chakufanya

    Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    wadau huyu Dada tumshauri nn? Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa! Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  5. JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

    Habarini ndugu Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue. Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto...
  6. JamiiForums Tanzania Nitamdharau zaidi mwana Simba SC yoyote anayejidanganya kuwa leo Mtoto atampiga Baba Bustanini Kwake Baharini

    Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
  7. JamiiForums Tanzania Malezi: Adhabu gani na Wakati gani unapaswa kumuadhibu Mtoto? Hivi ndivyo utakavyofanya.

    MALEZI: ADHABU GÀNI NA WAKATI GÀNI UNAPASWA KUMUADHIBU MTOTO? HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sasa umeshakuwa na Familia. Au pengine huna lakini unatarajia Siku za karibuni utakuwa na Familia. Binadamu wôte waliotimamu wanajua Hakuna Maisha mazuri nje ya familia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  9. JamiiForums Tanzania Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Riziki Pembe: Lengo la Kampeni ya MTOTO NI MBONI YANGU ni kutokomeza ukatili na unyanyasaji Wanawake na Watoto

    “Tumezindua rasmi kampeni hii ya Mtoto ni Mboni yangu ambayo itafanyika mwezi Novemba katika Mikoa yote mitano ya Zanzibar kwa maana ya Unguja na Pemba na lengo la Kampeni hii ni kutokomeza matukio yote ya ukatili na unyanyasaji kwa wakina mama na watoto kwani hilo ndio janga kubwa linaloharibu...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto analia sana na haongezeki uzito

    Habari za muda Wana jf Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto Nina mtoto WA kike ana miezi 9 Tangu azaliwe analia muda wote hata akinyonya bado analia tu muda mwingine anakuwa halii Ila anatoa sauti ya malalamiko hanyamazi kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi huondoka na Watoto wakidhani Wanaume watawafuata. Sijui nani aliwadanganya kuwa Mwanaume mtego wake ni Mtoto.

    WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo. Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mtoto kulia sana usiku

    Ndugu poleni na mjukumu ya kutwa nzima. Wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote. Mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini hasa nimejaribu kwa madaktari bingwa wa watoto sijabahatikaa kuona tofauti yoyote nimejaribu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

    https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3 Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena. Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaogombania kuzika maiti, na wazazi wanaogombania kuleta mtoto, wanafaidika na nini?

    Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu? Mzazi atakayemlea huyo mtoto atapata faida gani? Hajui kuwa mtoto atamkamua hela ya malezi na ada ya shule? Ni upendo ama...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwanachama muanzilishi wa Hezbollah ataka Ayatollah Auawe!!

    Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa. Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha. Baba yake huyu jamaa alikuwa ni mmojawapo wa wanzilishi wa kundi la Hamas.
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume usitengeneze mtoto na mwanamke ambaye hautaishi nae.

    Ni uongo au kujitoa ufahamu kusema mwanaume hauna akili ya kujua kuwa huyu mwanamke ana red flags za kutosha kukupa mrejesho kuwa hautadumu nae na hatobadilika hata ufanye nini. Mwezi wa kwanza tu wa kuishi na kuwa karibu na mwanamke tayari kwa mtoto wa kiume mwenye ubongo unaofanya kazi kiume...
  19. JamiiForums Tanzania Poda nzuri Kwa mtoto mchanga

    Masaada wakuu Mtoto n mchanga WA week 1 Na anaswet shingoni ukimpanguza Anakua kama anababuka Naomba kujua poda nzuri Kwa Mtoto Na ametokwa na vipele Ambavyo vnakaa kama uzaraha Ila ukivitumbua vitoka majimaji Na vinakauka Msaada wa dawa dafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…