mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  2. JamiiForums Tanzania Abbas Tarimba, wewe uko tayari mtoto wako afe badala ya mtoto wa boss wako?

    "Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi Alishuhudia Fainali, Simba ikatuaibisha, Mtoto wa Mzee Mwinyi ameshuhudia yaleyale

    Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo. Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa kwao kwenye fainali ambayo wao hulazimisha kuiita shirikisho. Shuhuda wa aibu hiyo alikuwa rais...
  4. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuchagua jinsia ya mtoto kabla sijamzaa.

    Hamjambo 👋🏽 👋🏽 Mimi ni mwanamume. Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya. Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Mzazi na mtoto Nani anatakiwa kumfafuta Mwenzake?

    KATI YA MZAZI NA MTOTO NANI ANATAKIWA KUMFAFUTA MWENZAKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baadhi ya wadau walinipigia simu katika nyakati tofautitofauti wakiwa na visa binafsi tofautitofauti. Waliniuliza, swali hili; Kati ya mzazi na Mtoto Nani anatakiwa kumtafuta Mwenzake? Swali Hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  8. JamiiForums Tanzania Mkasa wa jamaa yangu kuhusu mtoto

    Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita, baadae mahusiano yakawa yameisha. Amekaa baada ya miezi 8 ya mahusiano yao kuisha, yule mwanamke...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Obote, Jimmy Akena ajiuzulu ubunge

    Jimmy Akena amejiuzulu ubunge baada ya CDF Jenerali Muhozi kupendekeza kwamba masuala yote yanayohusu haki za binadamu yataamuliwa kwa pasenti mia na Kamati Kuu ya Chama tawala, NRM, kabla ya kupelekwa Bungeni kwa majadiliano. Akena ni mtoto wa Milton Obote. Amesema Dar es Salaam hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Trump amesema uongo na kudanganya kwa Hamas kama mtoto ili kumpata mateka wake,Alexander

    Yanayoendelea Gaza yanazidi kuutambulsho udhaifu wa Marekani na Israel mbele ya Hamas,na kwamba si watu wa kufanya nao mkataba wowote ule wa kuaminika kwa kauli zao. Kiongozi mkubwa wa Hamas amesema walifanya mazungumzo ya moja kwa moja na mwakilishi wa Trump,aitwaye Steve Witkoff ili kumwachia...
  11. JamiiForums Tanzania Wanakuonea sana kwa upole ulio nao au mwanao nimpole sana imefikia hatua anaonewa na kila mtoto mtaani!

    ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sidano ya usingizi kwa mtoto wa miaka9 ili afanyiwe MRI

    Habar wakuu nauliza mtoto wangu Umri maiak9,tumeingia kwenye kipimo Cha MRI kwa ajili ya tatizo lake la mgongo Sasa mtoto anasumbua kweli hatulii kwenye mashine nikulia tu mwanzo mwisho, Je kuna madhara yoyote akichomwa sindano ya usingizi kwa ajili ya kufanyiwa hiyo mri
  13. JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa kweli mtoto wa mchungaji ameniletea Roho ya Kishetani sana..

    Nimeingiwa na Roho ya Tamaa sana baada ya kuona video jongeo ya mtoto wa pastor Yule si mtoto wa 2009 kabisa? Shetani pita kaa mbali nisije kwenda Jela😅😅😅
  15. JamiiForums Tanzania Hili baba lina miaka 43, halijaoa na halina mtoto. Ila lina sababu ya msingi japo haina mantiki

    Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭 Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini! Kuna kipindi alifikia akasema hata mapenzi aache kufanya kabisa maskini, akiamini nguvu za kufanyia...
  16. JamiiForums Tanzania Dah kweli dini na sayansi haitakuja zipatane, Uislamu wanaamini mtoto mchanga hulia kisa ameguswa na shetani

    Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali. Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kulalamika kuingiliwa mambo yake(Bunge la Ulaya) na kisa cha mtoto asiejitambua

    Habari wakuu Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko mwanamke akikosa

    Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
  19. JamiiForums Tanzania Arusha; Baba aokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto kubebwa na mafuriko

    Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina la jimmy au almaarufu Baba Adriana, mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Lemara ameokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliyekuwa nae kwenye pikipiki yake kusombwa na maji wakati wakivuka mto. Tukio Hilo limetokea njiro...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…