mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbadala wa kufanyiza waalimu mtihani kabla ya kuajiriwa

    Binafasi napendekeza badala ya kuwapa waalimu mitihani kabla ya kuajiriwa, kuwe tu na kigezo cha pass stahiki cha masomo atakayofundisha..... Sijui kwa nini umchague mwalimu wa Kiswahili & History (kwa mfano) mwenye ufaulu wa D kwa masomo husika wakati umeacha kuchukua mtu mwenye ufaulu wa B...
  2. Uongozi wa simba huwa unagombana na wachezaji wazuri na tegemewa. Wanaipa hasara klabu na kumpa mtihani Mgunda

    Hamtaki Chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki Sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii Mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni. Ata kama mnanjaa jengeni mazingira basi. Leo Mgunda anaunga unga kikosi tu. Wachezaji wazuri wote mnawapanga mpige...
  3. C

    Wizara ya Elimu, futeni mtihani wa darasa la nne

    Wizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza la SITA watafaulishwa wote kuingia kidato cha Kwanza kulingana na competence ya mtoto. Sasa sijui...
  4. Soma biblia kama mwanafunzi anayejiandaa kufanya mtihani

    Habari zenu wadau nimewaletea somo hili muhimu kwa wale wote wakristo kwa lengo la kufundishana na kukukumbasha ili sote tuweze kutenda sawa sawa na maandiko yanavyotutaka Biblia inafundisha kila kitu katika maisha yetu haya tunayoyaishi Biblia inatufundisha kufakari neno la Mungu usiku na...
  5. P

    PreGE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  6. M

    Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  7. Napendekeza kuwepo na kipengele cha Video kwenye mtihani wa sekondari

    Nimefikiria kua kwenye mtihani wa kidato cha nne na/au cha sita kuwe na kipengele cha video ambacho wanafunzi watajibia maswali. Kila mwaka NECTA inachagua au inaandaa video yenye angalau saa moja ( one hour length video) ambayo wanafunzi wataangalia na kisha watajibia swali / maswali ambalo...
  8. P

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika! Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
  9. Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  10. Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

    Wasalaam. Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza. Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
  11. M

    Uongozi Ngome ya Vijana ACT ni mtihani kwa Ndolezi Petro

    Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne wamejitokeza kuwania nafasi hiyo miongoni mwao akiwemo binti wa mwanasiasa mahiri na mwanadiplomasia...
  12. Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule...
  13. Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

    Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. Soma Pia Matokeo mengine...
  14. C

    Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne. (Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
  15. Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023. KILA MTU HAELEZI TATIZO Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
  16. TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  17. Huu sio mkanganyiko kuhusu Mtihani wa Mock Tanzania?

    Ninashindwa kujua ni ipi kanuni ama mwongozo wa mitihani ya mock Tanzania, ninauliza maana sina uhakika kwamba hiyo inampima mwanafunzi kwa kiwango kipi yaani ufauli ni upi? ama kufeli ni alama ipi? Kwenye mtahani kama wa form 2 uliofanyika na matokeo yake kupatikana siyo siku nyingi ni alama...
  18. NECTA 2023: Wanafunzi 359,424 wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili wamefeli, Wengine 211,997 hawakufanya Mtihani

    Matokeo ya Mitihani ya Upimaji Kitaifa kwa Wanafunzi wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili iliyofanyika Oktoba na Novemba 2023 yameonesha Wanafunzi 147,837 (8.73%) wa Darasa la 4 hawakufanya Mtihani wa Upimaji ambapo Wasichana ni 60,835 (7.04%) na Wavulana ni 87,002 (10.50%). Pia, Wanafunzi 257,396...
  19. wale tuloingia na 4 figure kwenye chumba cha mtihani wa kidato cha nne na kukosa cha kujibu kuja hapa.

    leo nimekumbuka sana maisha nikiwa ya kidato cha nne na hasa nilipokuwa naenda kufanya mtihani wa hesabu with zero brain in calculation lakin cha ajabu nilitumia muda mwingi kufikiri kuliko mtihani wowote na ajabu zaidi niliingia na kitabu cha four figure wakati sikuwahi kujifunza kabisa yaani...
  20. Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake. Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu. Akimpenda sana bwana wake atazuia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…