Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi.
Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi.
Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
Ni sisi ONFON MEDIA watu mahiri kwenye mifumo mbalimbali, wakati huu tunakusogezea huduma ya RING BACK TUNES kwa gharama ndogo sana ya 30,000/=.
Mfanye mteja wako apokelewe na ujumbe maalumu mara tu akupigiapo simu.
Nipigie/WhatsApp 0795790411
kama uko maeneo hayoo tuwasiliane kuna jamaa anahitaji madirisha makubwa matatu ya aina hii
Piga kwenye hii namba
0792797806
Robinson
Mulize kuna Magriill ya kutengeneza kibaha kwa Mathias akuelekeze jinso ya kufika
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
6BEDROOMS
SEBULE KUBWA NA NDOGO
JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN)
DINING WITH PATIO
MASTER WITH PATIO
TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650
TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja.
Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
Habari!
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta wateja wa madini ya quartz kwa mzigo wa kuanzia tani moja (1 Tonne) Quartz hizi zinapatikana kwa mfumo wa Mapande (hii ni quartz ambayo haina umbo maaalumu yani ni mwamba ambao tunaukuta wote ukiwa kioo kwa kuwa mwamba huu ni mkubwa...
Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake.
sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa hizo MB 800 zinaenda wapi?
Na ikatokea mteja mwingine akanunua kifurushi cha MB 500 kwa sh 1000/= je...
Ni Tesla tena.
Juzi wameshazindua officially huduma ya robotaxi, kwa kuanzia Austin, Texas, ambapo mteja utaita gari like Uber/Bolt hafu itakuja Tesla bila dereva, na kukupeleka unapoenda. Makato juu kwa juu.
Sasa sahivi wameenda next level na autonomous driving.
Gari ikitoka kiwandani...
Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale...
Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia...
China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga.
Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
Unakutana na mteja, mnamaliza maongezi vizuri kabisa, lakini mwisho wa siku anakwambia:
✍️Nitarudi baadaye
✍️Naitaji kufikiria kwanza
✍️Ngoja niongee na mwenza wangu
Yaani, anapotea hewani bila kulipa 😤
JINSI YA KUMFANYA MTEJA ALIPIE HUDUMA YAKO HARAKA SANA (BILA KUSUBIRI!)
Kwa Nini Wateja...
Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10
Mwisho kibamba
Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote
Nicheki PM
Nipo nimekaa zangu nashangaa kupokea ujumbe " Ndugu mteja umelipa. Sh 2999 kwenda Google Play. "
Kweli Mimi Nina akili zangu timamu nilipe sh elfu 2 na 999 kwenda Google Play? Ili iweje? Toka lini Google Play ikalipiwa?
Nimepiga simu kuongea na huduma kwa wateja aliposikia tu shida yangu...
Salam wakuu!
Twende kwenye mada husika, tupe mkasa wowote, ulioupata Kwa kumwamini mteja,dukani kwako,iwe kutapeliwa,kutokulipwa, au kufikisika!
Karibuni!
Ikitokea umeagiza chakula hotelini au mgahawani halafu wakati ukiwa unakula hiko chakula ukakutana na nzi, mende au nywele kwenye hicho chakula ukikataa kulipia utakuwa sahihi?
Nimejaribu kupiga simu kwa NMB huduma kwa mteja (customer service), tokea wiki iliyopita lakini cha ajabu hakuna simu inayopokelewa hadi leo! Sidhani km kuna kampuni mbovu kwa “customer service” kama hawa NMB!
OFFER 🔥OFFER
POCHI POCHI POCHI POCHI
Jumla:8,000kuanzia pc10
Rejareja:9,000
Brand: new
Delivery: 🚚 Ipo Mikoani tunatuma✅
Delivery juu ya mteja
Tunapatikana Dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.