mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada Mtanzania Anayeishi Namibia.

    Habari za wakati huu wanajukwaa? Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki. Kama yupo yeyote hapa,tafadhali naomba tuwasiliane kwa Direct Message (DM). Naomba kuwakilisha.
  2. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima anaongea Kiswahili cha wapi?

    Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi? Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana. https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes

    Niko nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, kila mtu aliyesikika na atakayekuwepo humo ni complicity wa Ukiukwaji wote wa haki, Nikishakusanya hawa watu wote nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes katika mataifa ya Ulaya na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa Urais UMD Mwajuma Noty Mirambo: Tunaamini katika sera za majimbo, kila mtanzania pale alipo atafurahia uchumi wa eneo lake

    Mgombea wa Urais kupitia chama cha Union for multpart Democracy (UMD) Mwajuma Noty Mirambo Amesema Sera za chama hicho zimejikita katika uchumi wa majimbo ambapo kila mtanzania atafaidika na vitega uchumi pamoja na miradi inayopatikana katika maeneo wanayo ishi wananchi. Mgombea huyo wa urais...
  6. JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Silaha: Serkali ya Marekani imemfungulia kesi Mtanzania Subiro Osmand Mwapinga kwa ulanguzi wa silaha kwa makundi ya ugaidi na uasi dunia

    BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio Moja kwa moja, Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
  7. JamiiForums Tanzania Heche: Watanzania mjiulize, mnaifanyia nini nchi yetu ili vijana wapate ajira

    "Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  9. JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  10. JamiiForums Tanzania Tuweke mishahara kuendana na maisha ya mtanzania

  11. JamiiForums Tanzania Ifike mahali " Wachawi" Wa Tanzania waelimishwe kwamba Mtanzania kwenda Marekani sio achievement

    Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA. Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Kuna "Mtanzania Halisi" Asiyekuwa na Asili ya Nje?

    Hapana, hakuna Mtanzania halisi ambaye hana kabisa asili ya nje—kwa sababu karibu watu wote waliopo Tanzania leo ni matokeo ya mchanganyiko wa makabila, mataifa, na tamaduni zilizokuja kupitia: Uhamiaji wa kale kutoka Afrika ya Kati na Magharibi (Bantu migration) Wafanyabiashara na waarabu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania MTANZANIA ALIYEPO KIGALI

    Wadau, Mimi leo ni mara ya kwanza kutembelea Nchi hii maridhawa kabisa ya Maj. Gen. PK. Kama yupo "Mswahili"mwenzangu ambaye yuko huku naomba tuwasiliane angalau kupata uenyeji wa kutembea /kulizunguka Jiji la Kigali kwa siku hizi chache nitakazokuwepo huku. Details zaidi njoo inbox.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anayeishi Hanoi tuwasiliane

    Habari zenu ndugu zangu watanzania,!? Yeyote aliepo Hanoi city tuwasiliane.
  15. JamiiForums Tanzania Dereva mtanzania ajiua nchini Zambia baada ya kukamatwa akiiba mafuta

    Imeripotiwa na CHETE FM. Madereva wa tenki za mafuta kuweni waaminifu. Habari nzima hapo chini. ____________________________ A Tanzanian truck driver working for ANAMOL Transport Company in Dar es Salaam has died after allegedly taking his own lífe by ingèsting an unknown substance moments...
  16. JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza DG wa MOFAT, ni Mtanzania, msomi na ameeleza uzuri kuhusu mradi na kampuni yake Watanzania tumuunge mkono ataendesha mradi kisasa

    https://www.youtube.com/watch?v=Wdo4iyyC_HA Tanzania ina kila sababu ya kujivunia kwa kuwa na vijana wa aina ya huyu Mohammed Abdalah Kassim ambae ni mtoto wa mjini na mzaliwa wa Magomeni Makuti, jijini Dar-es-Salaam. Akihojiwa na TV ya Millard Ayo Mohamed amejieleza uzuri sana na kuuelezea...
  17. JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Mtanzania na maadui wa Mtanzania ni umaskini na Uafrika . Uchawa unaliangamiza Taifa , tuukatae kwa nguvu zote

    Uchawa unaliangamiza Taifa hakuna kusema ukweli , hakuna Uzalendo tena . Umaskini,Tamaa ,Uvivu na kupenda madaraka umefanya kuisahau Tanzania , palipo na pesa hakuna haki , hakuna kukemea ubaya na kuimba mapambio ya aliyeshika rupia . Ni lini tutaupinga kwa nguvu Uchawa na machawa wakalijua...
  18. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

    CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine. Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA? Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata...
  19. JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefura hakuna Mtanzania atakeyegongewa mlango kulilipa

    Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli. Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya Tano B chini ya Rais aliyepatikana kwa mujibu wa katiba,tumeona mambo mengi makubwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili kwa mtanzania ni mjadala wa mechi ya dabi

    Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa, Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya yanga yanafurahi sijui ni kipi kimetekelezwa,yamepost Hadi mitandao yao yote lakini simba wako kimya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…