mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyewahi kuwa Jambazi sugu Kenya atoa ushahidi na kusimulia alivyofanya jambazi ikiwemo kuvaa sare za polisi, Kayachoka maisha ya uraiani?

    Mzee anajisnichi mwenyewe, ni kama anajivunia kwa kazi haramu aliyowahi kuifanya uyu mzee ni kama vile sio mzima kwakweli, ana jitoa ufaamu wazi wazi. anaonyesha hadi id yake aliyotumia Kenya pamoja na chapisho la gazeti kwamba ni "wanted". chanzo ni Millard, ni credible source so nahisi...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania afungwa Jela Miaka 30 Kenya kwa Usafirishaji Haramu wa Watoto

    James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela. Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
  4. JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye kuelewa ilipo Mahakama ya Qadhi Mkoani Mbeya tafadhali

    Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Mwili wa mtanzania mwenzetu Nemes Tarimo hatimaye waletwa Tanzania

  6. JamiiForums Tanzania Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi. --- SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kufia Ukraine Tanzania iidai Urusi fidia

    Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia. Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake? Wako wapi wanasheria wetu? Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema Nemes Tarimo alihukumiwa miaka 7 jela, akafariki akiwa vitani

    Waziri wa Mambo ya Nje, Stergomena Tax amesema Mtanzania aliyefariki Dunia Nchini Urusi, Nemes Tarimo alikuwepo nchini humo kwa ajili ya masomo na alijiunga na Chuo cha Moscow Technology Pro mwaka 2020 kwa masomo ya Shahada ya Uzamili katika fani ya 'Business Informatics'. Waziri amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyeuawa vitani Urusi; kifo cha kishujaa?

    Nemes Tarimo alienda Urusi kusoma mnamo mwaka 2020. Akiwa huko Urusi, mwezi Machi 2022 alikamatwa kwa uhalifu akahukumiwa miaka 7 jela. Warusi wakatoa ofa kwa wafungwa kwamba ukienda vitani, baada ya vita utapewa fedha nyingi na utapata uhuru. Nemes Tarimo akajiunga na kundi la Wagner Group...
  10. JamiiForums Tanzania Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania niliyemuamini nimemsikia na kuamini kumbe naye 'ameshalambishwa' Asali ya Zanzibar

    Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu. Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu wa Mtanzania aliyefariki vitani Ukraine walala matanga siku 10 wakisubiri mwili

    Ndugu wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamedai hadi sasa wametumia siku 10 kuusubiri mwili wa ndugu yao kwa kulala matanga. Taarifa zinaeleza kuwa kifo cha Nemes aliyekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

    Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano...
  14. JamiiForums Tanzania Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

    Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani. Federal news agency The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of...
  15. JamiiForums Tanzania Mwandishi mwenye asili ya Tanzania atajwa kati ya Waafrika 100 Wanaoheshimika zaidi 2023

    Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi. Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
  16. JamiiForums Tanzania Mtanzania adai kuteswa Iraq, alienda kufanya kazi

    Upande wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha binadamu inayomkabili Mohamed Masoli umedai mlalamikaji (jina limehifadhiwa) baada ya kufika nchini Iraq kwa ajili ya kufanya kazi za ndani aliteswa na bosi wake, ikiwemo kuingiliwa kimwili na wanaume zaidi ya wawili kwa wakati mmoja. Hayo...
  17. JamiiForums Tanzania Ruzuku ya mbolea haina fada kwa Mtanzania

    Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam. Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika wa ruzuku hiyo.
  18. JamiiForums Tanzania Kama Mungu angefanikisha ndoto ya kila Mtanzania sasa tungekuwa na Marais laki 1, wanajeshi ml.10, marubani mil.7, madaktari mil. 10, wanasheria ml.15

    Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda. Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
  19. JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa Mtanzania ni Mtanzania mwenyewe!

    Naomba nizungumzie kiujumla, licha ya kwamba kati yetu binafsi, wapo ambao wako tofauti na walio wengi. Watanzania wengi ni wajinga [wasiozijua haki zao] na ni waoga sana. Mchanganyiko wa hizo sifa mbili ni kikwazo kikubwa sana katika maendeleo ya jamii. Huwezi kupata maendeleo yoyote yale ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

    Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa. Kama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…