mtangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
  2. M

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds, Master Tindwa aliyepigwa risasi azikwa leo (Novemba 3, 2025)

    Mtangazaji huyo wa Michezo alikuwa kibarazani kwake alipokumbwa na shambulizi hili. Marehemu hakuwa akiandamana lakini kama ilivyoripotiwa awali, alipigwa risasi. Leo mwili wake umepumzishwa katika “nyumba yake ya milele”. Aliwahi kufanya kazi Radio One na ITV Pumzika salama ndugu yetu...
  3. A

    Kwa nini kesi ya mtangazaji aloyce nyanda na Aron Karugumjuli haijapanda Tanzlii mpaka sasa?

    Siku 3 zilizopita tulisikia kwamba mtangazaji na mwandishi wa habari wa star tv ameshinda rufaa yake dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa nyamagana Aron Karugumjuni lakini mpaka sasa kwenye mtandao wa tanzlii kesi hiyo muhimu ya deformation haijapandishwa. Tunaomba kujua tatizo ni nini Mahakama...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Habari za Sabato! Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara. Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka. Tatizo nililoliona lipo kwa...
  5. Mhaya

    GE2025 Mtangazaji wa Clouds TV "Kijah Yunus" aliyemchapa Maswali ya Uchonganishi Lissu mpaka wakazenguana, ateuliwa viti Maaalumu Lindi

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema leo na kusomwa mbele ya waandishi wa habari...
  6. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Maryam Rachuo wa Coco FM: Kama uko na mke mmoja, ongeza wa pili ili udumu na huyo mwanamke uliye naye

    ''Ukiwa nae huyo huyo tu Mmoja ndani ya Siku 91 ukiwa nae utaanza Kumchoka na kumuona wa kawaida ila ukiwa na mwingine wa Pili utakuwa na muda wa Kujigawa katika kuwa nao Kimapenzi na hii itakufanya Usiwachoke bali sasa uwe unatamani kupata Vitu vipya kutoka Kwako kwao ni lazima tu wakishajijua...
  7. Mindyou

    Video: Mtangazaji asitisha matangazo akiwa hewani baada ya Israel kushambulia Damascus

    Mtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika jiji la Damascus. Tukio hilo lilitokea wakati taarifa ya...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. == MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.... Salamu kwa Vijana wenzangu, Huu ni wakati wa...
  9. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye 'Video Clip' ya Mtangazaji (Mwanamama) wa Iran State Tv iliyoshambuliwa na Israel akikimbia Studio aniwekee ili niendelee Kucheka

    Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
  10. Twinawe

    Leo nimekumbuka Ahmed Ally akiwa mtangazaji pale radio Free Afrika

    Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake . Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu . Alinifanya nipende kusikiliza habari za magazeti na michezo asubuhi bila kumsahaua Ivona kamuntu pamoja na ben Mwanantala.
  11. Five55

    VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

    Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?! Huyu dada anaitwa nani?
  12. Uwesutanzania

    Je wewe ni mtangazaji au ni mtangaziwa,?

    Ndugu waislam na wakristo mtume wako Muhammad na Mungu wako YESU kabla ya kufa kwake aliwapa kazi vijana wake waende mataifani na katika mabala kote wakautangaze uislamu na ukristo, Sasa wewe muislamu na mkristo uliye Tanzania leo hii 2025 wewe ni yupi? Wewe ndio aliyepewa kazi ya kuutangaza...
  13. Fbn

    Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  14. GENTAMYCINE

    Kumbe Mtangazaji Mchambuzi Hans Rafael Kiburi chako chote cha Unazi wako ni kwakuwa umepata Ofa Kubwa Azam Media na karibuni unaachana na Crown Media?

    Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM...
  15. GENTAMYCINE

    Mtangazaji na Mchambuzi Hans Rafae wa CROWN FM jiangalie sana kwani Wewe bado ni Kijana na una Safari ndefu utajiharibia

    Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi. Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
  16. Faana

    Huyu Mtangazaji ni nani? Nataka tuyajenge

    https://www.facebook.com/reel/258387627366433
  17. Mwanongwa

    Mbeya: Wanandoa Mbaroni Baada ya Kumshushia Kipigo Hadi Kifo Mtoto Wao wa Miaka Minne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan...
  18. chiembe

    Katikati ya kikao Arusha, Makonda atamba kumnunulia Mercedes Benz mtangazaji Cza wa Clouds, alimpigia simu akamchagua aje amuulize maswali

    Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza. Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si kwa kupangiwa kazi na ofisi. Naona kuna mradi wa kumtakatisha mtu.
  19. N

    Yuko wapi mtangazaji Barbara Hassan

    Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
  20. chiembe

    TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
Back
Top Bottom