mtama

Mtama is a ward (shehia) in Lindi Rural, Lindi Region, Tanzania. The population was approximately 11,500 as of the 2002 census.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Ajira Mpya Mtama DC hatujalipwa fedha za kujikimu na hatujui tutalipwa lini

    Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini. Kwa kweli tunapata shida sana. Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
  2. Msanii

    Walitumwa wakidhani wanatekeleza sheria mpya wanakula mtama tunduni

    Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe. Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa. Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho...
  3. K

    GE2025 Nape aongoza kwa kishindo Mtama

    Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya 1. Nape kura 3,160 2. Nahonyo kura 1,545 3. Chilumba 824 4. Jemadari Saidi 358
  4. U

    Acheni Uongo Jimbo la. Mtama Lindi Nape Nnauye ameshinda Kwa kura 3160

    Matokeo rasmi Mheshimiwa Nape ndiyo mshindi na. siyo Jemedari Said kama wanavyodai baadhi ya Makada wa mchongo.
  5. Dogoli kinyamkela

    Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!

    Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!! Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati hujuhi hata mara ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya Ibada ni lini?? Endeleeni kuzianika tu!!
  6. K

    Mtama mweupe unahitajika

    Habari wakuu, Mtama mweupe unahitajika, angalau tani 30 kwa wiki. Pia kama utapatikana zaidi ya kiasi hicho kwa wiki itakua vizuri zaidi. Mkoa wowote tunaweza kufika, chamsingi iwe ni ndani ya Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0626532223
  7. Brayan_Jk

    Mtama (Sorghum) Unahitajika

    Habari , Kwa yeyote anaeweza ku supply Mtama mweupe au mwekundu wenye vigezo hapo chikini kwa kiasi chochote , Tuwasiliane Vigezo Aina : Mweupe na Mwekundu Moisture / Unyevunyevu - Usizidi 14% Eneo : Misugusugu - Pwani Malipo : siku 3-5 za kazi upon delivery Interested ,nicheki whatsapp...
  8. Just Pray

    PreGE2025 TANROADS yatatua hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama kawaida. Asubuhi ya leo Machi 24, 2025 majira ya saa 12:30, maji kutoka milima ya Kitumbi na...
  9. Archnemesis 2-0

    Nahitaji Mtama (Sorghum) tani 70

    Habari Wakuu, naomba mfanya biashara wa nafaka tupatane tufanye biashara ya mtama.. requirement kwanzia walau tani 40 kwenda juu.. Asanteni.
  10. Just Pray

    RC Lindi aiagiza halmashauri ya Mtama kusimamia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mtama yatoa zaidi yamilioni 300 mikopo ya asilimia 10

    Mkuu wa Wilaya ya Lindi VICTORIA MWANZIVA amezindua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa halmashauri ya Mtama ikiwa ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri na kutoa Hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni Mia tatu sitini, laki...
  12. G

    Kwahiyo Mbowe kumnunulia lissu kiti Moto na bia , mara akiwa musoma alinunua samaki na ugali wa mtama anamaanisha nini?

    Mbowe kaanza visingizio mapema. Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi? Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo? Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
  13. Dogoli kinyamkela

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo. 😩😩😩
  14. Waufukweni

    LGE2024 Lindi: Nape apiga kura Serikali za Mitaa Jimboni Mtama, atinga na pikipiki

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo. "Watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa Wagombea wote wakubali matokeo sababu hii...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Lindi: Nape ashiriki zoezi la kupiga kura Mtama

    Wakuu, Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha. Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
  16. Joan lewis

    Wanachama 260 CCM Jimbo la Mtama kuhamia ACT. Kuna Nini nyuma ya pazia?

    Habari Wana Siasa. Hongera sote Kwa majukumu na michango inayosaidia kuendekeza mbele maslahi mapana ya Mama TANZANIA. Wiki hii katika habari imetangazwa wanachama wa CCM karibu 300 jimboni Mtama mkoa wa Lindi walihamia ACT. Kwa wanaofahamu Jimbo la Mtama Mbunge aliyeko sio wa ACT au Chadema...
  17. K

    Kilimo cha mtama mweupe kinasoko wapi?

    Wadau, Nauliza kama nikilima mtamwa mweupe naweza kupata soko? Je, wapi ni wanunuzi wakuu?
  18. VUTA-NKUVUTE

    PreGE2025 LGE2024 Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

    Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo. Sikushangaa pale...
  19. M

    PreGE2025 Bango alilotoa Makonda linamhusu mnazi wa Mtama, Lindi

    "Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako" Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar wakati akitoa taarifa ya ziara ya kichama ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
  20. D

    Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

    Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA. Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni...
Back
Top Bottom