mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kataza

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  2. Mshati940

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nyeto imenipa mtaji wa biashara

    Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki). Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka mawili ya dawa Msewe, Hardware Kibaha na Uber IST 1. Mwisho japo si kwa umuhimu, nimenunua Ardhi...
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nafaka mtaji mkubwa faida kiduchu

    Hii biashara ni nzuri na inatoka lakini bila kua mjanja mjanja basi kutoboa ni ngumu sana, zaidi ya kupata hela ya kula tu kwasababu faida yake kwa kila kilo ni tsh 50-100...haiwezi kuzidi hapo. Nilikua na million 6 nikasema nikaangalie swala la mahindi, unaweza kujaza gari la tani 10, gunia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya saluni (vifaa/matumizi/faida)

    Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume. Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii Pamoja Na Gharama Halisi (Makadirio) Za Kuanzisha Saluni ya Kiume. KUMBUKA BEI/GHARAMA ZA VITU HAPA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

    Habari wadau. Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma. Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye...
  7. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  9. alsam

    JamiiForums Tanzania Fursa ya asali kwa mtaji wa 200k

    FURSA YA ASALI KWA MTAJI WA CHINI YA 200K . Kwa kutumia laki na 70 (170,000) utapata yafatayo:- 1#. Pure Asali lita 20. 2#. Free Delivery to Magufuli stand kwa walio Dar. 3#. Free packaging kwenye chupa za lita moja moja. Lita moja ni Tsh 8500, unaweza kuuza hata kwa elf 12 kwa lita na...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoomba ushauri wa biashara wakipata mtaji huwa wanafeli kwasababu hawana ujuzi wala connection.

    Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
  12. More Chances

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nina mtaji wa milion 4 nifanye biashara gani?

    Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume age 29 baada ya michongo kwenda vibaya nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4 nikatafuta frame ya mtaani nikapata ila issue ni kwamba kila nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini...
  13. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  14. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Kutosha isiwe sababu ya Wewe Kufungua Biashara Usiyo na Ujuzi nayo

    Katika Vitu vinapoteza watu wengi kwenye biashara ni MTAJI WA KUTOSHA. kuna watu nawambia wana mitaji mikubwa sana ya kufungua biashara yoyote na popote pale lakini hawaangaliii wala kuwaza yatakayojiri kwenye hizo biashara mambo yakigeuka. Kuna Uwezo kipesa na Kuna Ujuzi Wa kitu Katika...
  15. Gloria the writer

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  16. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wenu wa nguvu za kiume mtaji kwetu Serikali

    Serikali inatarajia kutumia Sh. Bilioni 3.5 kuchunguza Tatizo la Nguvu za Kiume, unywaji wa Energy Drinks
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

    Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo ni Nafaka, vifaa vya simu pamoja na umeme, mwisho ni hardware. Nafaka nilitaka nideal na maharage...
  19. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
Back
Top Bottom