Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji.
Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
Habari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Poleni na majukumu wakuu.
Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.
Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
Yooo watu wangu wa nguvu, especially wale wa CBE na vyuo vingine, na hata mtaani – kama unajiona uko ready ku-push maisha yako next level, then this message is for YOU!
Niko tayari kukupiga shule ya ukweli – somo la biashara, mindset, online hustle na street smart ideas – zote zikiwa zimetulia...
Yooo watu wangu wa nguvu, especially wale wa CBE na vyuo vingine, na hata mtaani – kama unajiona uko ready ku-push maisha yako next level, then this message is for YOU!
Niko tayari kukupiga shule ya ukweli – somo la biashara, mindset, online hustle na street smart ideas – zote zikiwa zimetulia...
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a...
Wadau nina mawazo haya ya biashara
1. Mini_Supermarket
2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe
3. Duka la rasta la jumla
4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta
Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
Wakuu,
Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy.
Kwa Dar es salaam.
Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
Kuna mtu atasaidika na mchango wako wa mawazo.
Inawezekana milioni mia mbili ni kidogo sana kwa uwekezaji nje ya nchi, lakini pengine bado zinaweza zikafanya kitu.
Nilishawahi kumsikia binti mmoja akisema anamiliki saluni jijini Dubai. Simkumbuki jina, lakini anaishi Dar Es Salaam!
Ingelikuwa...
Miezi kadhaa nyuma nilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyangu vya taarifa vilivyopo Mbeya mjini vikisema kwamba huko mkoa wa Songwe kuna kundi binafsi linaitwa SONGWE CONNECTION ambalo lina makadirio ya wanachama 3,800.
Taarifa niliyoipokea ni kuwa kuna mkanganyiko wa kimaslahi katika kundi...
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
Fremu ninayo tayari. Ninacho hitaji ni Video Camera, Still pictures Camera na video camera. Kwa kiasi hicho cha pesa naweza kupata hivyo vifaa?
Wajuvi nipeni muongozo na ushauri
Wasalaam
Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu
Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni
Ukiambiwa...
Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele.
Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe.
Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila...
Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni.
Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu.
Leo yametokea...
Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara.
Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee.
0712302556, 0684240927
Katika viwanda 30,000 bilivyojengwa mie na familia yangu hatuna hata kimoja.!?
Kwa sababu uanzishwaji wa viwanda ni jukumu la private sector na kila mmoja wetu hata mie NIMO..
Wapi naweza pata mtaji nianzishe BAR niwapunguzie watu mawazo kama jukumu la bia lilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.