Nataka niwatie moyo vijana wanaohangaika na mitaji mikubwa, basi tumieni hicho kidogo ulicho nacho
Hakuna pesa isiyofanya biashara, pesa yoyote ina uweZo wa kufanya biashara na kuzaa nyingine
Hapa nitashare na wadau biashara ya kufanya ukiwa na mtaji kiduchu
1. Nunua WiFi 3 Kwa 70,000 funga...
Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Songambele (Nsimbo)-Katavi
🗓️Machi 15, 2026
————————————
Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.
Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe
Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana...
1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m
02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk
03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.
Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business...
Habari wana Jamii forums
Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani
Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
❌ Tatizo la Watu Wengi:
Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani.
Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu .
Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji
1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Kuna kauli maarufu inayosema: “Nchi inapoanza kutumia nguvu nyingi sana kujilinda na kulinda utawala wake, ndipo inapoanza kuishi kwenye mtaji wake.”
Bado hakuna takwimu rasmi za kuthibitisha hilo, lakini dalili zote zinaonesha tunaelekea huko au tumeshafika.
Tangu tarehe 29 Oktoba 2025, siku ya...
Kwenye maisha watu ni mtaji muhimu sana.
ISAYA 43: 4
Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
Umeona unaitaji watu Maana mungu hutumia watu...
Vitisho vya kuua watu 29 Oct 2025 ndio imekua faraja ya Viongozi wa chama tawala Kwa Sasa baada ya kuona Hali ni ngumu na halisi.
Wamepoteza matumaini kabisa na hofu imewajaa.
Hua najiuliza hivi Hawa Viongozi hua ni Viongozi wa watu ama Ni Viongozi wa kuongozana wao Kwa wao?
Mbona hawawajali...
Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital.
1. Board Resolution
Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa...
Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M.
Hizi ni hatua za kisheria za kufuata.
1. Kikao Cha wakurugenzi (directors)
Wakurugenzi watakaa na kupitisha ajenda ya kuongeza Mtaji wa Kampuni.
2. Notice...
Habari?
Niende moja kwa moja kwenye point...
Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk...
Kwa upande wa location nipo...
Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako.
Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?
Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
Fee za usajili wa Kampuni BRELA, zinatofautiana kulingana na capital ya Kampuni.
Kwa capital ya 1M mpaka 4M Brela wataku charge 222,200.
Kwa capital ya 5M mpaka 10M Brela watacharge Tsh. 333,000.
Watu wengi sana wanabana capital ili walipwe fee ndogo lakini hii huleta effect kwenye biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.