mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wasomi mlioko mtaani, elezeni vilio vyenu kupitia uchaguzi serikali za mitaa 2024

    Katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa vijana chagueni viongozi watakaojua kuwa mko mtaani na mnachangamoto nyingi. Nawasilisha.
  2. JamiiForums Tanzania Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

    Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi. Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado. SO WHAT WE GONNA DO
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Watoto wa Mtaani waonekaniwe

    “Watizamwe kwa jicho la huruma” Katika hao wapo wengi walio na utayari wa kuanza maisha mapya, ni sisi kama jamii kuamini. Tusisahau juu ya wale wengi wanaowatumia kama chanzo cha mapato, “tuna wahita omba omba, la hasha! si hivyo wote hao ni watoto wa mtaani ambao wanatumika na hao wachache...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa zimetengeneza vichaa wengi sana mtaani

    Ukweli ndioo huo kila siku mtaaan watu wanaongeaa peke yao kama wako na famlia unawaza anaongea na nanii..loh
  5. JamiiForums Tanzania Je, twisheni za mtaani kipindi cha likizo zinawasaidia Wanafunzi au zinawapoteza?

    Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha (Hawa hawaamini katika tuisheni za mtaani). Pia Kuna walimu ambao wanawapa wanafunzi wao maelekezo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  7. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

    Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara. Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani? Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
  8. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  10. JamiiForums Tanzania Ukimaliza chuo ukakaa mtaani miaka mitano bila ajira, mifumo ya ajira serikalini inakutema

    Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi. Watu wamesoma...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

    Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?
  13. JamiiForums Tanzania Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
  14. JamiiForums Tanzania Natamani sana biashara ya kudaka mitumba na kuitembeza mtaani!

    Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua mwanza, ni eneo gani zuri nitapata hii mitumba na je ni sehem zipi nzuri naweza tembea mitumba yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
  16. JamiiForums Tanzania Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded IGP Wambura, kuna Askari wako Mpanda wamevamia Wananchi mtaani na kuwachapa kwa waya bila maelezo

    Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini Mpanda mnamo tarehe 3 Aprili 2024. Tukiwa mtaani hatuna hili wala lile, watu wakiwa wanaendelea na...
  19. JamiiForums Tanzania Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

    Huyu jamaa anaunguza karanga kwa kutumia kemikali ya "sulphuric acid" na kutembeza mtaani! Karanga! Karanga! Waswahili hatutaki shida ya mambo ya kuthibitishwa ubora tunaona tunanyanyasika!
  20. E

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa mwiba mtaani

    Wasalaam Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari Wasiotakiwa hapa ni wafuatao; Wale wa fanya kazi halali Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…