TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha.
Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
Organisation of Islamic Cooperation (OIC), inayojulikana pia kwa Kiswahili kama Umoja wa Ushirikiano wa Kiislamu, ni shirika la kimataifa ambalo linalenga kukuza umoja, ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa na kijamii kati ya mataifa wa Kiislamu. OIC ilianzishwa mwaka 1969, na makao yake...
Mwaka wa 15 sasahivi tongu zianze kuletwa hadithi za mradi wa LNG Tanzania na mradi huo haujaanza hata kidogo mpaka Leo.
Tongu hadithi hizi zianze kuzungumzwa hakuna cha mradi wowote wa LNG umewahi kuonekana zaidi ya hadithi za hekaya za Abunuasi.
Wakati hayo yanafanyika jirani Msumbiji...
Kampuni ya TotalEnergies (TTEF.PA) inatarajia kuanza tena uendelezaji wa mradi wake wa gesi asilia iliyolengwa kushindikwa (LNG) wenye thamani ya dola bilioni 20 nchini Msumbiji “msimu huu wa kiangazi,” alisema Mkurugenzi Mtendaji Patrick Pouyanne siku ya Jumatano.
Alitoa majibu hayo...
Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, amekutana na kuzungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji, Mama Gueta Selemane Chapo, aliyetembelea...
RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika...
1. Marais kadhaa wa wanachama wa SADC (Botswana, Zambia, Namibia , Afrika Kusini) wapo bize nchini mwao wakipambania wananchi wao wawe na maisha Bora.
2. Badala ya kwenda kuteketeza mamilioni kwa safari ambazo hata Balozi zao waliopo Rome wangeweza kuwakilisha.
Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
Wakuu kwema?
Sielewi, nimepitia Millitary Ranks za Africa kwenye Website kadhaa naona Tanzania tuko nyuma sana.
Wataalam wa hii ishu eb nisaidieni, naona hadi Sudan wanatuzidi Kijeshi. Kwani tunafeli wapii?
Siku ya uhuru nikiona wale makomandoo wanaopigwa na matofali nawaza tuko vizuri sana...
Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake.
Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi.
Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi yake katika jimbo hilo kurudisha hali ya utusalama na utulivu.
Baada ya kuona ufanisi mkubwa wa kikosi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema:
"Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya...
Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai Uchaguzi uliompa ushindi haukuwa wa Haki, Huru na Uwazi.
Ushindi wa Chapo umeibua Mgogoro na Vurugu...
Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki.
Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima.
Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Huu ni msemo wetu wa kiswahili ambao una maana pana sana.
Siasa za kusini mwa jangwa la Sahara zimeanza kuchukua njia ya tofauti kabisa siku za karibuni. Vyama vilivyopigania uhuru kwenye nchi za kusini mwa Afrika vimeanza kukabiliana na vuguvugu la mageuzi...
Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Kinachoendelea...
Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania.
Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno.
Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya.
Nchi ya Marekani ilipata hari mpya...
Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
Source: SABC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.