Habari za majukumu mabibi na mabwana!
Katika harakati hizi za maisha watu hupitia mengi sana, Kuna kipindi pesa inakubali, Kuna kipindi unachapika mpaka unajuta kuzaliwa. Anyways twende kwenye jambo la msingi, hivi ulisukumwa na na nini mpaka kufikia uamuzi wa kujenga nyumba unayoishi? Ni...