msitu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aka2030

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Msitu wa pande ugeuzwe kuwa mbuga ya wanyama

    Naaam Ili kuchochea utalii dsm pamoja na kuongeza kipato Wawekwe wanyama wasio na madhara kama Twiga pundamilia mbuni Lazima Ifikiwe tuwe wabunifu kama hoteli moja huko kigamboni inaweka twiga na pundamilia hii msitu wa pande inashindikana vipi Watu wa maliasili na tanapa tazameni hili...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

    Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba. Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Watalii watembelea msitu wa minazi kwa boti za mianzi huko Vietnam

    Watalii wanatembea msitu wa minazi katika sehemu ya pwani nchini Vietnam kwa kupanda boti za mianzi. Boti hizo zimevutia watalii wengi ambao kama wakipenda, wanaweza kufurahia ngoma za kitamaduni na kushiriki katika mashindano ya kupiga makasia.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God aniamshe mapema sana kwani ratiba yangu Ilikuwa tight... Kweli bwana Mungu yupo wazeee, na anajibu...
  5. Artifact Collector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni fumbo gumu sababu moyo wa mwanadamu ni msitu mnene

    Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo. Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa kupata sex mda wowote na matamanio, wanawake wengi watakutaman na matamanio yanakuja na kuondoka...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Singida: Watu 700 waliovamia Hifadhi waondolewa, silaha zakamatwa, mashtaka yafunguliwa

    Watu zaidi ya 700 waliovamia Msitu wa Hifadhi ya Mgodi uliopo wilayani Singida wameondolewa huku silaha mbalimbali zikikamatwa na miongoni mwao wamefunguliwa mashtaka. Kamanda wa kikosi kasi kilichoundwa kuwaondoa wavamizi hao, Tumaini Membi alisema shughuli ya kuwaondoa wavamizi hao ilifuata...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msitu umejaa wawindaji. Miruzi mingi humpoteza mbwa, hata kwa Ndugai tutahama kama ilivyokuwa kwa Polepole.

    Nitarudi baadae, kama wengine hawajanielewa. Nasongea kuangalia Mayele, Fei na wataalamu wa mpira wa Yanga.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

    Uwanja wa ndege aliojenga Mobutu umegeuka kuwa uwanja wa popo na panya Dikteta Mobutu aliamua kujenga Uwanja wa Gbadolite katika Jimbo la Nord-Ubangi, mwendo wa saa 5 na dakika 16 kutoka mji huo hadi kijijini Lisala (umbali wa 332km) alikozaliwa Mobutu mwenyewe, Gbadolite kilikuwa kijiji...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu Romania

    Nchini Romania, Kusini Magharibi mwa nchi hiyo, jirani na mpaka wa nchi ya German ndiko hupatikana msitu wa wauzauza wa Hoia-Baciu. Tukiachana na msitu wa mauzauza wa Njombe tuliouzoea, msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu ni noma, hauna kuku wa maajabu, ila una maajabu ya kutisha. Katikati ya...
Back
Top Bottom