msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

    Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu. Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1 Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

    Umofia kwenu! Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao. Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya mbalimbali ambazo zitakuwa zinatumika kwa msimu ujao. Karibuni...
  3. JamiiForums Tanzania Beki wa Kimataifa Henock Inonga atumike kama 'Blueprint' ya Usajili wa Wachezaji wa Kimataifa wa Simba SC kwa Msimu ujao

    GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga..... 1. Kujiamini mno Uwanjani 2. Uwezo mkubwa sana 3. Control ya uhakika muda wote 4. Akili nyingi Uwanjani 5. Mwenye Ari ya Upambanaji 6...
  4. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

    Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa. Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Hali halisi ya masoko yetu msimu wa mvua

    Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha. Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa miundombinu sahihi ya Soko wala mfumo mzuri wa Maji safi na taka. Bali Mfanyabiashara ambae ni...
  6. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Msimu huu wa 2022/23 Yanga na Man City, wote watabeba makombe matatu

    Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo hiyo itatokea kwa timu ya Man City ya Uingereza ambayo nayo itabeba makombe matatu (Ligi kuu, Kombe...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Club bingwa Africa msimu huu

    Nimetazama game ya Simba vs Wydad. Sasa ivi nawatazama hawa Al ahaly vs Raja. + CR Belouizdad vs Mamelody aisee izi timu nane zote ni HESHIMA Ila kule ktk kombe la Looserniko na mashaka migoli itakuwa mingi
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Changamoto wanazopitia abiria wanaotumia Kituo Kikubwa cha Daladala Kilombero msimu huu wa mvua

    Kituo kikubwa cha daladala kilichopo Kilombero karibu kabisa na Soko la Kilombero jijini hapa kimegeuka kuwa kero kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kutokana na kukosekana kwa sehemu ya kujikinga mvua kwa abiria wanaotumia kituo hicho. Muundo wa kituo hiki umejengwa kama uwanja wa mpira na sio...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Simba msimu ujao tujifelishe tushiriki Shirikisho, tusishiriki tena Champions League, ama nusu fainali kwetu itabaki kuwa ndoto

    HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila msimu kama timu ndogo Jamani wana Simba tuwe realistic, kwenye mashindano ya CAF Simba mwendo...
  10. JamiiForums Tanzania Chelsea mbioni kumrejesha Lampard hadi mwisho wa msimu

    Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza iko mbioni kumrejesha klabuni hapo mchezaji na kocha wake wa zamani kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu Kwa mujibu wa Fabrizio Romano klabu hiyo inaendelea na mazungmzo na Julian Nagelsmann pamoja na Luis Enrique ili kupata mwalimu wa kudumu wa klabu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  13. JamiiForums Tanzania SIMBA na usajili msimu ujao

    KOCHA Mkuu wa Simba Robert Oliveira ‘Robertinho’ amepania kuongeza idadi ya mastar katika kilabu ya Simba huku akitazamia zaidi katika mechi za kimataifa, kwa sasa kwa kila mchezo anaocheza uwe wa kimataifa au wa ndani anakuwa na kazi nyingine ya kutafakari nini kimepelea na nini cha kuongeza...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya zao la mpunga nchini ni mbaya msimu huu

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu, nimepta mara nyingi katika mbuga zilimwazo mpunga kuanzia Dodoma, Manyoni, Itigi, Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga na mkoa wa Mwanza Kwa kipindi kuanzia January Hadi March mwaka huu. Nimepata picha kuwa mwaka huu tutakumbwa na uhaba mkubwa Sana kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Simba msimu uliopita na msimu huu mpaka sasa

    Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia. 1) Kucheza robo fainali cc na cl 2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho) 3) Wachezaji kupostiwa magoli ya wiki 4) Wachezaji kuwekwa kwenye team ya week 5) Kupostiwa kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Nabi kumtumia Baka kwenye mechi kutaipunguzia gharama Yanga mwisho wa msimu

    Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke mabaya kama mchezaji huyo asipopangwa kunaingarimu timu fedha nyingi kumbakisha kikosini mchezaji...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mashabiki wa Arsenal wanaamini watapata ubingwa msimu huu?

    Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare. Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda...
  18. JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

    Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona. Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL. Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali. EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Azam Tv msimu huu mbona hamuoneshi Emirates F.A Cup?

    Misimu iliyopita tulikuwa tunakula burudani ya Kombe la FA kupitia AzamTv Sasa hivi michuano inaendelea AzamTv haoneshi labda ile Carabao Cup. Sasa kama mnashindwa kuonesha Emirates FA Cup mtaweza kweli mziki wa EPL? Nilikuepo!
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana msimu huu wa sikukuu ndio 'High season' kwa makampuni na wauzaji wa Beer

    Salamu wakuu. Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live. Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja inawezekana hawa jamaa msimu huu ndio huwa wana sales kubwa kuliko miezi yote. Uzi tayari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…