Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo.
Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli.
Hivi timu kubwa km Simba ni yakukaa na kuwa wanafurahia magoli ya wachezaji wao??
Turudi kwa kiwango cha chama...