msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  2. 888I

    Msimamo Wangu kuhusu Pascal Mayalla

    Wana-JF na Wanahabari wenzangu, Leo nimeguswa kutoa neno baada ya kuona barua ya Bodi ya Ithibati (JAB) ya tarehe 03 Machi 2026, ikitoa onyo kwa mwandishi mwandamizi Pascal Mayalla na mwenzake Wilberforce Ngoto. Kama mwanahabari mdogo kwa Senior Mayalla, siwezi kukaa kimya wakati misingi ya...
  3. Boss la DP World

    Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake. Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
  4. ELI COHEN

    Kuna vitu flani ukishakuwa 35+ unapaswa kuwa na majibu yao, huu sio tena umri wa kujiuliza uliza na kutokuwa na msimamo wa kile unachokiamini

    Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah. Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani" Ni umri ambao...
  5. Mindyou

    Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  6. B

    Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

    Brussels, Belgium Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya / EU KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ... Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
  7. S

    SI KWELI Wasira: Maridhiano ni lazima bila hivyo kuna watu watakaa jela milele

    Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote. Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano. Soma mwenyewe hapa chini. "Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya...
  8. Genius Man

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao. Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote ile.
  9. Tindo

    Msimamo wa Senegal huko AFCON ni kama wa CHADEMA

    Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani. Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
  10. R

    My take: Kosa lake ni kuwa na msimamo wa kuwadhibiti polisi na ukatili! Soft tone na kuwakaripia polisi hakuipenda

    Kuwa advocate wa haki na kuwa na soft tone with the mass kua mkali na mapolisi na utendaji wao wa kazi usiozingatia PGO imemponza. Alionesha kuwa na mrengo wa kulia wa sympathy with people. Hiyo haitakiwi. Uwe katili! Chawene ni kuwa na msimamo wa kuwadhibiti polisi na ukatili! Soft tone ya...
  11. U

    Msimamo wa CHADEMA kutoshiriki kinachoitwa "maridhiano" ni aidha unapotoshwa makusudi au ni hawa wajiitao wachambuzi uchwara kutoelewa maudhui yake

    Mfano ni huyu kwenye YouTube audio video clip hii hapa Chini ya video hiyo, kwenye comment section, mdau mmoja aka komenti hivi, nikaipenda comment yake na nikaamua kushea nanyi kwa ajili ya mjadala mpana ============================================= "Taarifa yako ni potofu, unawapotosha...
  12. Genius Man

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo kama wa Gen Z asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana
  13. Fbn

    Wakiona hii waislamu wenye msimamo mkali

    FaizaFoxy ,Lucha Mnakaribishwa kutoa mapovu
  14. Agent-47

    PostGE2025 Msimamo wa vijana waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini

    Huu hapa Msimamo wa waliokuwa wamekamatwa kwa uhaini siku na baada ya uchaguzi mkuu.
  15. Yoda

    PostGE2025 Msimamo wa watawala mpaka sasa unazidi kuiweka nchi pabaya zaidi

    Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi 1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje 2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili 3. Waandamanaji walilipwa 4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje...
  16. Kichuguu

    Msimamo wa CAF Champions League na CAF Confederation CUP

    Tupashane msimamo wa kila wiki kwenye mashindano haya japo inaonekana kuwa waarabu wanayatawala sana CAF Champions League CAF Confederation Cup
  17. Inside10

    Singida: Kiongozi BAVICHA, Bodaboda Watekwa DC Atoa Msimamo

    https://www.instagram.com/p/DPcBlpUAono/?igsh=Ym9xc2VkZHB0MGNo
  18. DuaZaMama

    GE2025 Zacharia Obadi: Maandamano ya Oktoba 29, 2025 ni msimamo wa Wananchi na siyo Chama

    Hawajaweka wazi na Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria anasema ni msimamo wa wananchi na siyo chama. "Wimbo umekuwa ni huo tu No reforms No election na wengine wameenda mbali zaidi nakusema kwamba tarehe 29, october tunaandamana CHADEMA hatujajitokeza wazi wazi nakusema huo...
  19. ELI COHEN

    Vp mwana Man Utd, msimamo wako juu ya Amorim upoje sasa hivi? abaki au asepe?

  20. ELI COHEN

    Kituu pekee cha kukikomboa kutoka palestina na pawe huru ni hamas, muslim brotherhood, IRGC na uislamu wa itikadi ya msimamo mkali.

    Wala gaza sio wahanga wa uyahudi. Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi. Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala. Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu utotoni wamefundishwa kumchukia mbwa wa jirani wakati wa nyumbani kwake ndio anakula kuku wake.
Back
Top Bottom