Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu ni kwamba juhudi hizi zikifanyika zitatusaidia kuongeza idadi ya Watalii na kuitangaza Tanzania.....''