Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.
Wakati anaelezea kuhusu sakata la Meli iliyokamatwa huko El Salvador na Shehena ya Madawa ya Kulevya iliyokuwa inapeperusha bendera ya Tanzania .
Gerson Msigwa alieleza kwamba Zanzibar ni mwananchama wa IMO kwa hiyo wanaruhusiwa kusajili Meli na kwamba Serikali ya Zanzibar ndio ilisajili Meli...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa.
Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo.
Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika.
Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
Wakuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa anaeleza kuwa suala lilioibuliwa hivi Karibuni la Uuzaji wa Dhahabu limepotoshwa tofauti na uhalisia ulivyo kwa kile alichodai ni suala la kawaida.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline wenye ubia na TotalEnergies (62%), Uganda National Oil Company (15%), and CNOOC kampuni ya China(8%)...
Katika press ya msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameeleza namna ambavyo bandari ya DP World ilivyotatua changamoto ya ajira kwa viajana wasomi wa kitanzania ambapo amesema bandari hiyo imezalisha zaidi ya ajira 764 za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja nyingi zimezalishwa...
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 amesema kuwa Rais Samia alifanya maamuzi makini ya kuingia mkataba wa upangishaji na uendeshwaji wa Bandari ya Dar es Salaam na DP world pamoja na ADAN akidai wanaosema imeuzwa wanapotosha kwani ipo...
Kazi yetu ni kusema kama tulivyosema kabla ya uchaguzi mkatubeza, yakiharibika mtatafuta watu au makampuni ya kufanya Damage Control.
Baada ya tukio kubwa la 29/10, ambalo halijawahi kutokea nchini, kipindi hiki kilitakiwa kuwa kipindi cha kuliponya taifa, a healing period, kipindi cha kutibu...
Mambo vipi wana JF....
Wadau, hivi karibuni Msigwa na wenzake wanalalamika kuwa wanaotukana serikali mitandaoni ni "maroboti" waliotumwa na wapinzani ili kuchafua picha. Lakini ukiangalia vizuri post ya Jamii Forums Instagram kuhusu kukamatwa kwa Mzee Clemence Mwandambo, wanaoshangilia na...
Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani?
Mimi nitawachumu kwa busu la kenge.
"Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa.
Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea.
Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau.
Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu wa nchi yetu.
Msigwa amesema hayo leo Desemba 10, 2025 wakati...
"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate?
Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa .
Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya...
Habari iliyonifikia hivi punde, Kupitia ukurasa wa Gerson Msigwa, Instagram
Marehemu Hannah Mayige (waliokaa, wa kwanza kulia), Mimi na watumishi wenzangu wa TBC Kituo cha Songea tulimuita Mama kutokana na jinsi alivyotuongoza akiwa Mkuu wa Kanda ya Nyasa wa TBC.
Tulimwita Mama kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.