mshipa

  1. elivina shambuni

    JKCI yaweka mshipa bandia kwenye moyo

    KWA mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanya upasuaji wa kutenganisha mshipa wa kusambaza damu kwenye mwili na kuweka mshipa bandia wa kusambaza damu kwenye mapafu. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa nne na...
Top