Mumewe hawezi kusimamisha tena

Ester505

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
794
1,030
Iko hivi;Kuna rafiki yangu anasema mumewe hawezi kusimamisha Tena mjegeje baada ya mshipa mmojawapo wa mjegeje kuvunjika.

Huyu mumewe alienda kwa mchepuko wake,Sasa wakati wa kunyanduana ndo mchepuko akaikalia.

Sasa alivyoikalia ndo mshipa wa mjegeje ukavunjika.
Mumewe hakusema alivyorudi home.Sasa si Unajua Tena mambo ya nyegeziiiii.

Sasa kila akiombwa tendo,mjegeje hausimami.
Weeee rafiki yangu kasema usinitanie mume wangu,Hali hii imeanza lini???

Akamwambia nieleze ukweli la sivyoo naondoka.

Ndo huyu bwana akajieleza kuwa nilikuwa kwa mchepuko hukoooo,wakati wa kunyanduana akaikalia,ndo akavunja mshipa wa mjegeje. Wanaenda hospitali,matibabu NI milioni 6.

Upo?

Rafiki yangu anaomba ushauri je aondokeee maana hiyo milioni 6 ya matibabu hawana.

Na bibie anasema hakwenda pale kula na kulala,yeye kafata mjegeje.

Sasa mjegeje umevunjika mshipa hukoooooo kwa mchepuko.

Tuchukue tahadhari maana utasikia ikalieeee.mwenzenu huyooooo,mjegeje haufanyi kazi,mshipa umevunjika matibabu ni 6 milioni.

Weekend njeeeema.Take care with your Mjegeje.na kubali TU vingine vikupiteeeee
 
Si NI kweli Ile kitu inammeza mwenzake yaweza kufunjika???
FB_IMG_16933146880377227.jpg

Bado sijaona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom