mshenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana LOGICS

    Ni kwelii kuna kuandika barua kwa mkono au kutype utie kwenye bahasha na hela mshenga apeleke kwa binti usubiri majibu

    Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu. Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya kunisumbua au kusubiri hususani milolongo. Naweza kubadil mawazo ndani ya Dakika moja Sasa nauliza...
  2. Sky Eclat

    Muoaji na mshenga wakiwa ukweni

    Jukumu la kuwa mshenga ni zito, linaambatana na ulaji wa chakula kizito.
  3. paka_wa_Simba

    Inawezekana kubadilisha mshenga?

    Habari wadau.. kuna jmaa yang alitaka kuposa kwenye mji flan hapa Dom , akatafuta MSHENGA akapeleka posa na kukubaliana mahali.. Lakini changamoto inakuja muhusika anapotaka kutoa/kupeleka mahari ; MSHENGA anakuwa anamambo mengi,, je jamaa anaweza kubadili MSHENGA na kupeleka hio mahari? Maana...
Back
Top Bottom