Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!!
Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi.
Au niingie mtandao gani nijiachie humo.
Kwani Mshangazi una sifa Zipi ?
Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri — mara nyingi wakiwa sawa na mama au shangazi zao. Wengine huita "sugar love", wengine wanaita "upendo wa kipekee".
Lakini...
Hii nchi ina vituko na JF ndio studio yake🤣
Ni basi tu tunawaponda dada zetu walio 30+ ila Kijana wa kiume ukishafikisha 30+ wewe nae ni "LIJOMBA" hadhi ile ile ya lishangazi.
Siku hizi wadada hawazeeki, kuna vipi vipi siku hizi, kuna serum za kuondoa makunyazi, etc
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli au ni simulizi za kahawa na bar vaada ya kilevi
Hebu tupe uzoefu wa mshangazi na ulipata vipi
Lete ushuhuda uliwahi pata mpenzi wa kweli hapa Jf
Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5%...
Uwe mshangazi halisi sio wa kuchovya
Uwe unajimudu mwenyewe na usiwe mtu wa nyeenyee sio kila siku wewe ni mtu wa kujiliza tu mara niongezee vocha mara gesi imeisha mara nchangie mjombaangu kafa kumbe mjomba ni mzima anadunda zake.
Mengine tutachat bdae
Mimi ni kijana in early 30s, financially doing fine . Fantasy yangu ni kuwa in sexual entanglement na mshangazi( age 34- 54). No relationship only to fullfil each other’s sexual needs . Sihitaji kabisa pesa zake and I won’t be providing any financial assistance, just vibes and sex. Nahitaji wale...
Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina.
Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu?
Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
Wadau,
Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya..
...
Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni muathirika na baada ya kutumia PEP niliponea shimo la moto kwani mpaka wa leo mimi ni mzima wa...
Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.
BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.
Haya nishaurini nini cha kufanya...
Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito?
Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40.
Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF.
Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na kupesti tabia za BRAZA CHOGO na BICHWA KOMWE - .
Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe...
Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako.
Niulize kwanini?
Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.