mshahara

  1. JamiiForums Tanzania Kuishi bila kugusa mshahara wake,Makonda anastahili kutumbuliwa haraka

    Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini. Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine Trump akataa kulipwa mshahara wa Urais, Ataugawa kwa wenye uhitaji

    Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo. Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Tangu nimepata uenezi sijawahi kuchukua hata sh 100 kwenye mshahara wangu, huwa natoa yote sadaka!

    Wakuu, Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni! Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
  5. JamiiForums Tanzania Mshahara mdogo bila marupurupu ni kupoteza muda adimu

    Hi great thinkers, Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa. Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya...
  6. JamiiForums Tanzania Mshahara mzuri unaanzia kiasi gani?

    Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo? Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc
  7. JamiiForums Tanzania Rais Assad wa Syria aongeza mshahara wa wanajeshi kwa Asilimia Hamsini 50%

    Baada ya jeshi la Waasi kuchukua mji wa Hama na kuteka Kambi ya kijeshi mjini humo. Rais Bashar Al Assad ametangaza kuongeza mishahara ya jeshi lake kwa Asilimia 50% ili kuongeza morali. Inasemekana jeshi la Syria limeshuka Sana kimorali.
  8. JamiiForums Tanzania Mshahara ungetolewa kila wiki. Kutolewa kila baada ya mwezi kunadumaza uchumi

    Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana nami kuwa biashara inachanganya sana tarehe za mwisho wa mwezi. Baada ya hapo zinadumaa kwa mwezi mzima. Biashara zote, kuanzia za umachinga, za bucha hadi za vifaa vya ujenzi huchanganya mwisho wa mwezi kisha zinadumaa kwa karibu mwezi mzima. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Physics na Mathematics (form 1-6) anahitajika mshahara mnono.

    . Expired
  10. JamiiForums Tanzania Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  11. JamiiForums Tanzania Mshahara Novemba 2024

    Umebakia ule mshahara wa mwezi desemba. Tokea jana watu ni kuweka heshima na kumaliza kila kitu, kila ukiagiza unaambiwa kuna foleni ama vimekwisha. Tuonane Njaanuary 2025 kipindi cha kausha damu kutengeneza fedha za kutosha kutokana na matanuzi ya desemba na mahitaji ya january.
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watumishi hawajawekewa mshahara hali ya kuwa wenzao wa kada/idara moja wamewekewa

    Serikali itoe ufafanuzi kwanini baadhi ya watumishi wamekosa mshahara na wengine wamepata? Je, Hazina imekauka?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa laki tatu Dar

    Wakubwa mtu akipata deal la laki 3 Dar es salaam, ni kama mpya hajawahi fika na hana sehemu yeyote ya kufikia. Kwa mshahara wa laki 3 anaweza Toboa Dar?
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Uongozi hauna faida, bora kufanya biashara

    Wakuu, Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu sana na hata yeye alikuwa anaingiza pesa nyingi akiwa mfanyabiashara kuliko sasa hivi akiwa analipwa...
  15. JamiiForums Tanzania Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

    Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k, Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie. Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo nikitoa gharama...
  17. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Kike (House Keeper) Anahitajika Haraka. Mshahara Mzuri

    House KEEPER ANAHITAJIKA. Umli miaka 22-30 Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk. Karibu sana UPDATES : maombi yanafanyiwa kazi yaliyotumwa, hivo tusiendelee kutuma. Asanteni sana wakuu.
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua hatapokea mshahara mwezi Oktoba

    Aliyekua Naibu Rais Gachagua Mwezi huu hatapokea mshahara, kama ilivyo kawaida Bali nae inabid ajiajiri kama vijana wengi wanavyohusiwa na wanasiasa.
  19. JamiiForums Tanzania Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

    Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mshahara wa mwezi huu umetoka? Mbona kwangu bila bila?

    Wakuu hivi mshahara umetoka? Kwa wanaoutumia benk ya NMB mshahara umetoka? Au ndiyo nill wote kama mimi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…