msemaji wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Msigwa: Treni ya SGR haijaharibika Morogoro- Dodoma kilichotokea ni tahadhari

    Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kusitishwa kwa safari za treni kati ya Morogoro na Dodoma hakutokani na kuharibika kwa reli bali ni hatua za kitahadhari ili kudhibiti tishio la mito iloyojaa isiharibu miundombinu hiyo. Akizungumza na Ayo Tv leo kwa njia ya simu...
  2. Yoda

    Msemaji wa serikali anaposti kwa ajili ya nani katika mtandao wa X?

    Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia? Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya nje wakati wajibu wake wa kwanza ni kwa raia wa Tanzania ambao mshahara wake unatoka kwenye kodi...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Twitter (X) itafunguliwa pale tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Twitter (X) itafunguliwa pale ambapo tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania.
  4. DuaZaMama

    PostGE2025 Msigwa: sikuvipongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa, niliwapongeza kwa kufanya uandishi wa habari wa uwajibikaji

    Akizungumza na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa madai kuwa aliwapongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa ni upotoshaji. Pia Soma: Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Msemaji wa Serikali: Si Vizuri Viongozi wa dini kutoa matamko yenye uchochezi

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara Serikali hufanya mazungumzo na viongozi wa dini pale inapobaini kuwa mambo hayaendi vizuri. Msigwa...
  6. M

    GE2025 Msemaji wa Serikali: Madai kwamba uhuru wa kisiasa umepungua kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 siyo ya kweli

    Serikali imekanusha madai yanayodai ongezeko la ukandamizaji wa kisiasa nchini humo, huku taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akijibu ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch (HRW), Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema madai hayo...
  7. Kabende Msakila

    Msemaji wa Serikali - kuna sehemu unakawia. Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) wakusaidie.

    Cde Gerson, Mimi ni miongoni mwa wadau wako KABISA toka MOYONI. Nilianza kukuona kwamba wewe ni kijana mahili kipindi ukiwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu. Sasa ukiwa mratibu mkuu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali - nashauri ukitokea upotoshaji wowote kama huu wa TAL kwamba anataka...
  8. DuaZaMama

    PreGE2025 Msigwa: Sikusema 'Wanao-comment NO reforms NO election tutawapata'

    wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata" ===== Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika; "Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika...
  9. S

    Msemaji wa serikali mbona ameongea kwa paniki sana leo? Mambo si shwari huko serikali bila shaka

    Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho. Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World. Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi. Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye...
  10. B

    Msemaji wa Serikali anazungumza na Waandishi wa Habari Juni 11, 2025 Dodoma

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na waandishi wa habari leo Juni 11, 2025 saa saba na nusu mchana..... ngoja tusubiri kusikia boko litakalotoka kwa serikali leo... Rais alijishikilia kweli juzi na jana, leo watakuwa wanaangusha bomu. =========================== Msemaji Mkuu wa...
  11. funaku

    Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali Tanzania-Uchaguzi ni sherehe

    Hii ni nukuu muhimu iliyotoka kwa msemaji wa Serikali nchini Tanzania. Kwenye chaguzi zetu wanasiasa huwa wanatumia wasanii mbalimbali hususani wanamuziki kuvutia watu wafike kwenye mikutano na kusikia sera.. Wengi hufika kusikia na kuwaona wanasanaa wa muziki hivyo kwetu Tanzania Uchaguzi...
  12. Wakusoma 12

    Kwanini Msigwa ana ajira mbili? Moja Katibu Mkuu Wizara ya Habari nyingine Msemaji wa Serikali?

    Haya mambo yanafikirisha sana asee. Why vijana wanqtendewa hivi? Sasa ni muda wa serikali kujitafakari. Katika fukuto la ukosefu wa ajira Kuna mtu anakuja kusema vijana wasifikirie ajira za serikali pekee bali wajiajiri. Mtu huyo ni msemaji wa serikali pia ni katibu mkuu wizara ya habari!
  13. Roving Journalist

    Hotuba ya Mobhare Matinyi katika Hafla ya Kitaifa ya MISA Tanzania ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujieleza

    Hotuba ya Mkurugenzi Wa Idara Ya Habari Na Msemaji Mkuu Wa Serikali Ya Jamuhuri Ya Muungano Tanzania, Mobhare Matinyi, Kwenye Hafla Ya Pili Kitaifa Ya Tafakuri Ya Uchechemuzi Wa Uhuru Wa Kujieleza Iliyoandaliwa na Misa- Tanzania, kwenye Hoteli Kilimanjaro Hyatt, Dar es Salaam, Tarehe 31 Mei...
  14. Heparin

    ACT Wazalendo: Ukanusho wa Msemaji wa Serikali hautoshi, Waziri Ndumbaro awajibishwe

    Chama cha ACT Wazalendo kinaitaka mamlaka ya uteuzi kumwajibisha waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro kwa kauli ya kuweka marufuku kwa mashabiki wa timu pinzani zinazotoka nje ya nchi kuvaa jezi za timu zao zitakapocheza dhidi ya timu za Yanga na Simba katika hatua ya robo...
  15. JanguKamaJangu

    Msemaji wa Serikali: Suala la mashabiki kukaguliwa ‘Passport’, Waziri Ndumbaro alikuwa anatania

    https://www.youtube.com/watch?v=xyOZfGov2YA Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na Wanahabari, leo Machi 24, 2024, mada Miaka Mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. KUHUSU KAULI YA WAZIRI NDUMBARO Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Mbowe amegeuka kuwa msemaji wa serikali?

  17. BARD AI

    Msemaji wa Serikali: Thamani misaada ya maafa ya Hanang imefikia Tsh. Bilioni 7.7

    Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni. Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
  18. Influenza

    Msemaji wa Serikali, Matinyi: Nitahakikisha Wananchi wanajua Serikali inafanya nini, nasi tunajua wanataka nini

    Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro amebainisha kuwa kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha Wananchi wanapataa taarifa...
  19. R

    Msemaji wa serikali anasema alichoagizwa na "wakubwa zake" au ana mamlaka ya kuchagua mwenyewe aseme nini?

    Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
Back
Top Bottom