msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Sugu yupo Chadema kisanii na ni msanii, kifupi Sugu ni mnafiki

    Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa. Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba huyo maisha yake yote si ya uhalisia hata kidogo pale Chadema. Muda wote yeye ni mnafiki na mfitini...
  2. Mbosso anapania sana kwenye nyimbo zake: Wimbo huu umeniimbia kabisa!

    Huyu jamaa naona anapania sana kwenye nyimbo zake kuna moja ya mistari yake unasema "vishavu vimeanza kunona kitambi ndo hiki sasa ona nanenepa nanenepa na nami nimempata chioma" Bwana mbosso huu wimbo umeniimbia mimi kabisa 🤣🤣🤣
  3. D

    Kwani Jikoni kuna nini jamani. Mbona kila msanii anapenda kusifia kifanyia jikoni au varandani. Kuna nini huko?

    Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
  4. MSANII MANGOUSTINO

    MSANII RICHARD MANGOUSTINO ENZI ZA UBORA WAKE KUPITIA TUNGO NA USHAIRI WAKE . wachache sana wanaomjua msanii huyu aliyefahamika kwa jina lake Richard Mangoustino . Enzi hizo msanii huyu Richard mangoustino alikuwa ni Mwalimu wa muziki katika nyumba ya kukuzia vipaji hapa nchini nya THT ...
  5. Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

    Hivi wakuu kuna msanii anaemzidi Harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wa zamani naona hamna kitu Sidhani ata kutakuja kutokea kama huyu mwamba Konde Boy. Bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
  6. Pesa ingekuwa msanii ingetutungia dis track mbaya kuliko ile ya 2pac

    Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
  7. M

    Uhamasishaji wa Haji Manara ni wa kizamani sana, hakuna hata msanii mmoja mwenye ushawishi

    Nimecheka kweli, Bw Manara kaita wasanii ambao hawana influence yoyote hapa nchini na kuwasihi watumie platform zao kuhamasisha watu kujaa uwanjani, hivi kweli jaman washabiki wa mpira wanaweza kwa mfano kushawishiwa na Diamond t ambaye ana influence kubwa kwenda kuiona timu yao ikisambaza Gusa...
  8. Mashabiki wa msanii Dizasta vina mje hapa mtuambie wimbo wa mwanajua unamaanisha nini?

    Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema ."walimwita mwanajua maana alijua yvote,, hakwenda shule ila aliheshimika ka mwalimu,, hata watoto walimpenda walifanya sherehe tuiobalehe alipopita...
  9. Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

    Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
  10. Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

    Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu? Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
  11. Zuchu ndio msanii pekee wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dsm na likasimama

    Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa East and Central Africa. Lakini hii sio point yangu kwa leo. Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi hana mpinzani. Nyota yake inazidi kuwa kali kila kukikucha. Katoa album kali sana sijui mara ya...
  12. Msanii nguli na mzuri anajua wakati wa kushuka stejini.

    Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF. Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge. Pili ni viongozi wa wakuu kukaa madarakani kwa muda mrefu. Tatu ni kuhamahama kwa viongozi waandamizi wa vyama...
  13. Msanii gani alifanya uwe chizi wa muziki!

    Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena! Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay ngoma kama Kesi ya kanga na nyingine za kikongo, muda ullienda baadaye nikawa nasikiliza wasanii...
  14. Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

    Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini Huyu...
  15. Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

    Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny. Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
  16. Kuna msanii yeyote wa slow pop anayemzidi Whitney Houston?

    Kuna msanii yeyote wa slow pop anayemzidi Whitney Houston? Je ni nani?
  17. Cover song ya wimbo wa ‘Ova’ by Mbosso

    Huo hapo, by Hassan Mapenzi
  18. Kama umewahi sikia wimbo wa msanii billnas unaosema "Zingatia maokoto" basi ukifika serengeti national park huyu jamaa ndiye huzingatia maokoto😜😜😜

    KAMA UMEWAHI SIKIA WIMBO WA MSANII BILLNAS UNAOSEMA "ZINGATIA MAOKOTO" BASI UKIFIKA SERENGETI NATIONAL PARK HUYU JAMAA NDIYE HUZINGATIA MAOKOTO😜😜😜😜😜😜😜
  19. L

    JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike?

    Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
  20. Msanii Black Rhino

    Niko underground ndani ya town sina papara/ full mkoba taratibu ndani ya msafara/ usilete mkwara ipo siku nitatawala/ wakati umefika nimekita kama namadala / kenge wengine wote mi nawaona mafala/ night kisa Bongo ,Visiwani mpaka Bara/ nimekuwa kinara kila kitengo mi nang'ara/ Mc kichwa ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…