msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Watanzania wenzangu tuachane na mambo ya Gwajima ni msanii katumwa na CCM kuzima moto

    Ndugu zangu taifa la Mungu!!! Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia. Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
  2. W

    PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  3. Vyombo vya usalama vichunguze nia iliyojificha ya msanii Said Said aliyetaka kumpa zawadi Rais, isiishie hivyo tu

    Nashauri vyombo vya dola vifanye homework kwa kumchimba huyu kijana na hata kumuhoji. Jambo alilotaka kufanya linataka wenye akili ya ziada wamchimbue sana na taarifa rasmi ikajadiliwe gizani. Pia, next time, isiwe ruhusa kumkaribia kiongozi kabla ya kupata clearance.....
  4. Nimefurahishwa sana kwa jinsi msanii Said Said alivyo wakera watu

    Leo kila staa anamlaumu said said kias kwamba aliwakera kweli na kutama jana kukimbia ktk ukumbi wa masaki dom.. Ni hivi nilimsikia Said Said kwa kupita radio tbc taifa akichekesha na kuwafurahisha watu mimi sijaona kosa lolote alilo lifanya zaid San nimefurahi amewakera haswa machawa wa ccm na...
  5. Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess

    African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Yammi, amehitimisha rasmi mkataba wa usimamizi wa kazi zake na lebo yetu ya The African Princess Label...
  6. Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.

    Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.
  7. Msanii wa Muziki Patience Namadingo amuuliza maswali magumu na kutoa hoja nzito Rais wake wa Malawi, Chakwera

    Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was upon receiving the invitation to engage in a conversation with President Lazarus Chakwera. Addressing...
  8. Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  9. R

    Kisa cha msanii Q Chilla kumzaba kofi Ruge Mutahaba wa CMG Mwanza mpaka kuanguka kwake kimuziki kwa imani za kishirikina.

    Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo) Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani. SABABU HALISI ILIYO FANYA Q CHILA AFE KISANII. 1. Alikuwa...
  10. Wazee hivi huyu msanii trey Songz anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwasha sana

    Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini Kwa huyu mwamba
  11. R

    Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

    Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
  12. Maisha ya msanii wa kikongo "Lady Isa" yupo wapi na anafanya nini kwa sasa

    Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi. Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi...
  13. Huyu msanii Patience Namadingo ni jasiri kupitiliza

    Cheki mwenyewe akiongea mbele ya Rais Lazarus Chakwera https://www.facebook.com/share/v/1BFDLjgATo/ Kwa msiomfahamu Namadingo mchekini hapa kaimba na Mzee Chalamanda https://youtu.be/G-EIjsp_Wp4?si=GNWhqGbwY_gqM1nq
  14. Tangu aachie Komasava, msanii wenu kapotea kabisa. Ngoma zake 3 za mwisho zote zimebuma. Shida itakuwa nini?

    Wakuu, Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono? Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa. Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma. Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
  15. Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

    Najua wazee wa prokotoo, ibanie ndani, imeloa nyau, sijui chumvi sugar chumvi etc mtaanza kunikaba koo Kula kwanza hicho chuma https://youtu.be/F1kCWrem5RU?si=Uw7K0stk3hPP3D8z
  16. Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  17. Msanii wa bongo fleva, Hamorapa achoma moto gari lake.

    Katika hali ya kushangaza msanii wa kufokafoka Hamorapa ameonyesha video wakati akichoma gari lake.
  18. B

    Msanii namba moja tanzania

    Habari zenu.. In current situation righit now MARIO ndo msanii mkubwa kwasasa tanzania,wale wawili diamond na alikiba wapewe heshima yao kwa kufikisha mziki wa Tanzania hapa ila kwa hali ilivyo sasa MARIO namba moja na JAY MELODY namba mbili,HARMONIZE namba tatu na RAYVANNY namba nne,yeyote...
  19. Ni msanii gani ambae unaona kabisa ana talent kubwa lakini anachukuliwa wa kawaida?

    Wakuu habarini.. Katika tasnia (nazungumzia music), kuna wasanii wana vipaji vikubwa sana ingawa namna wanavyochukuliwa na jamii inaweza kuwa kawaida tofauti na uwezo walio nao labda kutokana na kutokuwa na promo, na kuna wengine wana uwezo wa kawaida ila ndio hivyo tena wamefanikiwa kupenya...
  20. W

    Ukongwe / legend inakujaga pale msanii au producer anapotea sokoni na kazi zake hazisikiki redioni wala kutrend mitandaoni, hii ni mifano bongo fleva

    Ukongwe unakujaga pale unapopotea sokoni & husikik Radion wala mitandaoni, Lakini kama bado msanii anatoa ngoma zenye impact ni ngumu kuitwa mkongwe (mfano kwa Ali Kiba na Diamond walioanza kuhit kabla ya 2010 na bado wapo). Mifano ya legends / wakongwe Wasanii. 20 Percent Lady Jay Dee Ray C...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…