msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. JamiiForums Tanzania REVIEW: Makosa matano (5) yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Inauma ya msanii Aslay

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 6 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter. ____________________________________ Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023. Ikiwa imeongozwa na director Majagi. Mpaka sasa tarehe 6...
  2. JamiiForums Tanzania Makosa matano yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Zuwena ya msanii Diamond Platinumz

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 5 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter. ........................................................... Video imetoka juzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwangu madilu systerm ni msanii bora kuliko franco luambo makiadi

    Ni kama ule ubishani nani msanii bora Kati ya lucky dube na Bob Marley unashangaza kidogo japo kwangu lucky dude ni msanii bora kuliko Bob Marley the same kwa madilu systerm na franco luambo makiadi kwangu madilu ni bora kuliko franco mimi kwangu franco ni namba mbili baada ya madilu. Japo...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  6. JamiiForums Tanzania Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

    Kwangu mimi MFALME - Q chief Nikilala naota - jide Namtafuta aseme Kama unataka demu - Solo thang kazi ipo - wanaume Sintobadilika - Mie tee Malkia - Ray C Uko wapi Soge sogea Na wewe Milele Unanimaliza Umenikataa Nipe love - AY Ingewezekana - D knob
  8. JamiiForums Tanzania Mavokali akichanga karata zake vizuri atakuwa msanii 'A-list' wa Afrika, amebakiza baraka za Diamond tu atoboe

    Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara. Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma yake inaitwa Komando imekuwa maarufu sana nchi za wazungu. Hakuna ujanja wowote aliyofanya bali ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  10. JamiiForums Tanzania Iran: Msanii aliyepinga ukandamizaji wa Serikali, akabiliwa na hukumu ya kifo

    Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu. Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono maandamano ya kupinga kifo cha Mahsa Amini, msichana wa miaka 22 aliyefariki akiwa chini ya Polisi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Burna Boy ashinda tuzo ya Msanii Bora Afrika MTV EMA's

    The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka. Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  13. JamiiForums Tanzania Kenya: Msanii wa Injili aomba radhi baada ya picha zake za utupu kuvuja mitandaoni

    Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili eneo la Kati Mary Lincoln amejikuta akiingia Kanisani kutubu na kutafuta maombi baada ya picha na video zake za utupu kusambazwa mitandaoni. Aliandamana na wasanii kadhaa akiwemo Karangu wa Muraya ambaye pia amekuwa akivuma mtandaoni kwa madai ya kuchukua...
  14. JamiiForums Tanzania Msanii wa vichekesho, Joti jitathmini katika hili

    Nimeangalia clip yake ya maigizo inayoitwa(kazi na ngono)katika igizo hili limeanza vema lakini ktk kumaliza nadhani lina utata. Joti aliigiza kama binti mwenye elimu ya digrii anayetafuta kazi, lakini bosi akamtaka kimapenzi ili ampe kazi na aliposhindwa kugawa uroda bosi hakumpa kazi. Joti...
  15. JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt Geordavie amzawadia gari la kifahari BMW X5 msanii Mkaliwenu

    Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie baada ya kukunwa na mashairi ya nyimbo aliyoitunga kwa ajili yake. Tukio hilo lilitokea hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

    Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa. Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki...
  17. JamiiForums Tanzania Kusah: Diamond sio msanii / Ruby ana mabwana wengi / ep yangu imetumia milioni 10

    Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
  18. JamiiForums Tanzania Bongo hakujawahi kuwa na msanii mkali wa Reggae kama Bahati Bukuku

  19. U

    JamiiForums Tanzania Ni Msanii Gani wa Bongo Fleva mwenye Nyimbo nyingi wa wakati wote,? Sugu, Juma, mond au prof

    Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini. Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
  20. JamiiForums Tanzania Ni mistari ya msanii gani au nyimbo gani ilikupatia mpenzi na je mpo naye au kilishaumana?

    Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani hivi na dingi mmoja kuanza kuliamsha popo yule demu akamwambia yuke dingi mimi ni mdogo wake nina shida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…