msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Hance Mtanashati

    Nimesikitika kuona wasanii wamegoma kwenda kumzika mama wa msanii mwenzao Chidi Benzi

    Wasanii kwa wasanii wanaishi maisha ya kisanii ,maisha ya kinafiki , wanajifanya wanapendana kumbe upendo wa kinafiki. Wasanii hupenda kuhudhuria shughuli iwe ni msiba, birthday,harusi nk ya mtu mwenye pesa , asiye na pesa wanamkalia mbali hata kama ni msanii mwenzao. Kwa haraka haraka...
  2. K

    Maisha ya sasa ya msanii Saida Karoli

    Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya...
  3. mwehu ndama

    Video: Msanii kipenzi cha Gen Z na wimbo wake wa "bonyeza kende"

    Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
  4. ngara23

    Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

    Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina...
  5. Mchochezi

    Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

    AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste...
  6. BIG BROTHER ALEX

    Mrembo Sishikiki alalama kutapeliwa gari baada ya kumtolea nje mwanaume aliyekuwa anamtaka kimahusiano

    Katika Hali isio ya kawaida dada kaingia insta na kuanza kutia huruma eti huyo jamaa alie matapeli sababu, hamtaki kimahusiano ndo chanzo jamaa kumtapeli kibabe. Wadau wahoji insta ndo mahakama? Wadau watema cheche, mnakula vya watu mkiombwa kulombwa mnaleta ujanjaujanja, kwa mara ya kwanza...
  7. DuaZaMama

    Msanii Beka Flavor aomba radhi, atoa ujumbe wa shukrani na amani

    Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavor, ametoa ujumbe wa shukrani kwa Mwenyezi Mungu akisema uhai ni kwa mapenzi na rehema zake, si kwa ujanja wa binadamu. Katika ujumbe huo, amewaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa ajili ya ndugu wote waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani. "Zamani nikiwa...
  8. DuaZaMama

    Gen Z wakimshangilia Msanii Diamond au ni ndugu zake wa Tandale?

    Wakuu. Haya ni mapokezi Msanii Diamond na kwenye video ni Gen Z waliosema hawatamani hata kumsikia sijui imekuwaje, lakini ukweli ndio huo wakimzimikia Msanii wao. Je, ni tukio lakutengenezwa ili ionekana anapendwa? Au kweli maisha yamerudi kama zamani?.
  9. M

    PostGE2025 Msanii anayetaka kusamehewa basi aje tushiriki maandamano hiyo ndiyo toba ya kweli

    Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
  10. Hance Mtanashati

    Hakuna kununua chochote kwenye biashara ya msanii, iwe ni nguo, vipodozi, msiishie tu kuwa unfollow

    Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe. Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 Msanii Davido alisimamisha show yake hapo Jana kuiombea Tanzania kutokana na mauaji yaliyotokea

    "Jana usiku alisimamisha show yake kuwaambia watu waiombee Tanzania sababu ya mauaji yaliyotokea. Meanwhile wasanii wa Tanzania wanapambana kuirudisha nchi kwenye hali ya hali ya kawaida ili waweze kupiga show tena. Kila Davido wanaumia na Tanzajia ila wasanii wa Tanzania wako busy na vibao...
  12. tonicimmobility

    PostGE2025 Namleta kwenu msanii chipukizi kutoka Kimara Gaza

    Kipaji chipukizi kutoka Kimara "Maisha yetu ni kuteswa, kutekwa na Samia kashika mamlaka"
  13. Poker

    Kwa sasa Rachel Dangwa ndio msanii maarufu anayesimama na wananchi

    Katika ukombozi wa taifa la Tanganyika sekta ya kulaani na matusi alikabidhiwa Sativa ila kwa sasa rasmi hii sekta kapewa Rachel Dangwa, ambapo inasemekana huwa hata akiota, anaota anaitusi serikali ya madhalimu. Huyu mwanadada kaamua kusimama na wananchi kwa kuitusi serikali ya ccm kwa matusi...
  14. J

    2025-2030 hakutakuwa na tamasha la msanii ndani ya nchi

    Salute kwenu JF bosses! Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII atakayeandaa show ndani ya nchi au nchi jirani na Tanzania, au nchi nyingine yoyote duniani yenye wananchi...
  15. M

    Msanii Diamond afuta post zote za CCM

    Kaondoa hadi post ya kumtakia heri Samia Suluhu kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Ndo kishawasaliti au kanusa kitu mbele?
  16. Black Opal

    GE2025 Duka la msanii Billnas lachomwa moto na Waandamanaji

    Baada ya kutoka kwa Shishi Food, sasa timu imetua kwa Billnass! Wananchi wameenda kumsalimia na duka lake kubakishiwa majivu. Safari ya kwenda kusamia chawa inaendelea mpaka wote warudishe akili zao. Baada ya hapa heshima itarudi, hakutakuwa na uchawa wa kuduanzi kutetea mambo ya kipuuzi. On...
  17. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  18. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  19. Nyani Ngabu

    Updates za Msanii zimeishia wapi?

    Baada ya yule aliyejitambulisha kama ‘kapteni’ wa JWTZ kuja na ile video yake, kuna watu humu walikuwa na kila aina za taarifa. Mmoja kati hao watu alikuwa ni mwanaJF mkongwe kwa jina la Msanii. Mwenzetu huyu alileta hapa hizi mada mbili...
  20. A glass of water

    Remmy Ongala, Je kuna msanii Bongo anaweza imba maneno kama uyu mwamba

    Uyu Jamaa nilipenda kitu flani katika maisha yake, mwamba alikua ni rula kanyooka vile. Haijalishi hilo jambo linamgusa yeye au mtu mwingine. 1. Remmy Ongala_Nyerere
Back
Top Bottom