msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    From Ukonga Prison: Ikulu ilituma ujumbe mwingine kumtaka mwamba akubali "msamaha" wa Mama. Tundu Lissu akataa, amwambia afute kesi kwa kuwa ni uongo

    Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano. Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
  2. State Propaganda

    NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Tarehe 2 Septemba 2022, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemia Mchechu alisema yafuatayo wakati akiwakilisha mipango waliyonayo NHC kwa wadau wa Sekta ya Milki Nchini ambapo SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema hivi karibuni linatarajia kuanza ujenzi wa 'nyumba za...
  3. T

    Marekani yakataa msamaha wa Jenerali Muhoozi wa Uganda

    "Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda" Seneta wa Marekani Jim Risch, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya...
  4. Bawabu wa pili

    Wanetu mnasemaje? Jux kaomba radhi kweli au kachamba umbea? au tuendelee kufanya kazi tu?

    Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema Staa wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kauli iliyosambaa mwaka jana...
  5. Just Pray

    PostGE2025 Ommy Dimpoz: Walioona tumewadhihaki nawaomba msamaha

    Ommy Dimpoz amewaomba msamaha kwa wale waliona wamedhihakiwa kwa kauli waliyoitoa kuwa vijana wafanye kazi waache kulalamika. Huu msamaha ameuomba kirahisi sana Pia Soma: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika
  6. Pascal Mayalla

    Kauli Hii ni Apologetic, Japo Mwanzo Alikomaa, Sasa Ameguswa, Ameumia, Amejutia!, Ameomba Msamaha!, Watanzania Tumsamehe, Yaishe Tusonge Mbele!.

    Wanabodi Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na wahalifu waliokuwa wanataka kumpidua, lakini baada ya kubaini ukweli kuwa sio wote waliouliwa ni...
  7. Troll JF

    FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  8. D

    Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

    Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani . Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua...
  9. J

    Viongozi wetu wanaongozwa nyuma ya pazia wasipokujua ili walivunje vunje taifa vipande vipande. Kwa roho ya upendo na msamaha wa Kimungu tutashinda

    Sasa viongozi wanahubiri utu na kazi. (nyuma watu wanatekwa na kuuawa kila uchwao). Ndani ya vipigo na uonevu usiokoma viongozi wa dini wanalipwa kuombea amani na kutaka maridhiano. Hawazungumzii kupata mwafaka wa kweli wa jinsi ya kuinua taifa bali kukaa kugawana vyeo kama wanasiasa. Hatutaki...
  10. N

    Ni bidhaa gani Tanzania zina msamaha wa kodi ukitaka kuagiza kutoka nje ya nchi?

    Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana. Naomba wakuu mnisaidie hili. Nawasilisha "Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
  11. Carlos The Jackal

    Tukishachukua Nchi, Kifo Cha Hayati Magufuli kitachunguzwa, Wahusika wa Mauaji hayo Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria !!Hakuna Cha Msamaha hapa !!

    Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
  12. Mvinyo mpya

    PostGE2025 Rais hana Mamlaka Kisheria ya kutoa msamaha kwa washtakiwa/watuhumiwa

    Wakuu vyombo vyetu vya habari ni vimepigwa ganzi! Wasomi wamepigwa ganzi! Nawaelewa maana nchi hii kupotea ni dakika. Juzi rais anasema amewasamehe walioshtakiwa! Kimsingi rais hana mamlaka ya kusamehe washtakiwa/watuhumiwa. Prerogative of mercy ambayo rais anayo ni kwa watu...
  13. The Father of All

    PostGE2025 Kati ya Rais Samia na Gen Z nani anapaswaye kuomba au kutoa msamaha?

    Tuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Rais Samia akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Nani hajui atendalo kati yake na wahanga wake yaani Gen Z? Nani anapaswa kuomba na kutoa msamaha kati ya wawili hawa. Nani...
  14. G

    Waliouliwa ndugu zao ndio wanapewa msamaha, au walioua ndo wamepewa msamaha? Ikulu yetu siyo patakatifu Tena, mikono yenye damu ni baraka au laana?

    Waliouliwa ndugu zao ndo walipaswa waombe msamaha, Cha ajabu ndo wanapewa msamaha kwamba baada ya kuua ndugu zako nimekusamehe usirudie tena Mstari aliyonukuu wa Luka, ulitolewa na aliyekuwa anaenda kuuwawa sio wauwaji wake. Mama Bado anaonyesha hatakaji kukubali ukweli awe huru Bado analaumu...
  15. Beira Boy

    Samia, msamaha wako tumeukataa na sisi siyo vijana wako. Tukutane D9

    Amani iwe nanyi watu wa MUNGU Huu msamaha wa huyu muuwaji tumeukataa rasmi Kwanza hauna vigezo wa kuitwa msamaha, sisi ndo tunapaswa tukusamehe siyo wewe kigagula utusamehe sisi Kingine sisi siyo vijana wako tafadhari sana Samia tumia akili japo kidogo Tukutane tarehe D9 SAYUNI BOY
  16. The patriot man

    Naamini serikali itakuja kuomba msamaha direct or indirect but najua hili swal linawaumiza

    Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar...
  17. JanguKamaJangu

    Shirika la Masoko Kariakoo latangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa waliounguliwa maduka

    SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka. Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza msamaha huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 Dar es Salaam. CHANZO...
  18. comrade_kipepe

    Namuombea Msamaha DC Magoti kwa Watanzania wote

    Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma! Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa

    Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
  20. Mama Ametufikia

    Aliyesema wake zetu wamezeeka aje awaombe msamaha.

    Nani aliyesema wake zetu wameezeeka ajitokeze kuomba msamaha BICHWA KOMWE -
Back
Top Bottom