Didmus Barasa amechaguliwa tena kuwa Mbunge wa Kimilili baada ya kupata kura 26,000 akimshinda mpinzani wake wa DAP-K Brian Khaemba aliyepata kura 9,000.
Barasa aliyegombea kupitia UDA, anadaiwa kumpiga risasi na kumuua msaidizi wa Olunga baada ya kukutana eneo la Shule ya Msingi ya Chebukwabi...