msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kujua fee structure ya chuo cha Muhimbili College of Health and Allied Sciences.

    Habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi? Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu? Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa haya matokeo ya mtihani

    Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo masomo? Natanguliza wingi wa shukrani, usiku mwema wajameni.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutengeneza picha zenye maneno

    Habari... Naomba namna ya kutengeneza picha kama hizi. Zenye hizo caption. Kwa simu au computer
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kuwa Winga

  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa Leseni ya Biashara

    Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu. Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew. Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kuhusu fomu ya mapunjo NSSF

    Habari Naomba kwa wenye uzoefu yeyote ambae kashawahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF anisaidie kunijuza kama kuna mzunguko wowote wa nenda rudi au hiyo fomu ya mapunjo haina mambo mengi Mana ile fomu ya madai kuna mambo ya kwenda mahakamani, kwa muajiri na bank kuchukua statement. Sasa nataka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mliosoma medicine mpite hapa nahitaji msaada.

    Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology . Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Nisaidieni list ya vyuo vunavyotoa kozi ya mechanical engineering
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kuchomelea (Welding)

    Wakuu, natumai wazima. Nimekuja kwenu kwa niaba ya mjomba wangu. Mjomba wangu anahitaji kazi, nafasi ya welding. Ana uzoefu wa kufanya kazi kawaida na viwandani zaidi ya miaka minne. Ni kijana wa miaka 30 na ana uzoefu wa kufanya kazi Tanzania na Afrika Kusini katika kazi za kawaida na...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Utaalam wa kuandika 'Dissertation'

    Naomba msaada kwa mtu anayehusika na Utaalam wa Uandishi wa Dissertation.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada

    Nawezaje kudownload album za nyimbo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa watuhumiwa wasio na uwezo wa Wakili binafsi?

    Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu aina ya Dell haina sauti msaada

    Wakuu habari za wakati huu PC yangu baada ya kupiga window naona haina sauti msaada pc ni Dell
  14. JamiiForums Tanzania Kuna nafasi ya pili ya kuomba vyuo vya diploma mwaka 2024?

    Nauliza kama kuna nafasi ya pili ya kuomba vyuo vya diploma mwaka huu??
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kujiunga na Alibaba

    Nimekuwa nikijaribu Mara kadhaa kujiunga na Alibaba lakini kila Mara naambiwa hivi.
  16. JamiiForums Tanzania TANROADS yatoa msaada wa vifaa tiba vya zaidi ya milioni 2 katika kilele cha wiki ya utumishi wa umma

    TANROADS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA MILIONI 2 KATIKA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha afya Segerea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili. Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia App ya UTT Amis naomba msaada kwenye hili

    WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu! Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa Sanduku la Posta la RITA wilaya ya Simanjiro

    Wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba Msaada wa Sanduku La Posta la RITA wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara. Mwenye ufahamu naomba anisaidie. Natanguliza shukran.
  20. JamiiForums Tanzania Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

    Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…